naomba msaada wa tatizo tajwa hapo juu, nataka say kuzungushia hapo kweny katiba ili mtu ajue eneo ninalolenga na si gazeti lote..................natanguliza shukraniPHP:
jaribu kumuliza Ben Saanane anaweza kukusaidia maana mm sijakuelewa kabisa
Tumia Paint Shop Pro ni app ya computer
jaribu kumuliza ben saanane anaweza kukusaidia maana mm sijakuelewa kabisa
nadhani ya ku-install hii, nashukuru sana
yah, ikiwa red inaonekana sana, sasa niambie umefanyaje?
tatizo ni kwamba huwez kutimiza ninachokitaka ndio maana hunielewi
teh teh teh mbona rahisi iyo mkaka...Chukua Pen zungushia then lifotoe ukimaliza una upload!
barikiwa sana
Lady niece unafanya muandiko wako wote ni bold?bora umemwambia wewe maana anakeresha mjengo hapa