Jamani hivi ukiandika barua ya maombi ya kazi huwa ukishamaliza kuiandika kwenye Microsoft word unai-copy halafu unai-paste kule kwenye e-mail kwenye chmba cha ujumbe? Au unai-attach kama CV au academic certificate halafu ile nafasi ya kwenye e-mail inabaki hivohivo wazi?