Msaada wa Jinsi ya kupata Cheti Kilichopotea Baraza la Mitihani NECTA

As Salafiyyu91

JF-Expert Member
Jan 11, 2014
2,537
2,530
Ndugu Wanajamvi kama mtu ukiwa umepoteza Cheti Cha Form 4 Ukitaka kukipata kingine Baraza la Mitihani Je inabidi uchukue hatua zipi

Pili ikiwa Unataka kuajiriwa na unataka Uthibitisho wa kuwa ulisoma Elimu ya Sekondari ya Kidato cha Nne.

Je Kuna Udhibitisho wowote unaweza ukaupata kutoka balaza la Mtihani

Ikiwa wewe tayari umeshanaliza Chuo Kikuu yani "Degree Holder "

Nawasilisha Wakuu
 
Mtafute Bash...

Umepoteza Seriously?

Au?

Sawa mtafute huyo atakusaidia

Au ndio umekuja kwa huku?

Historia zimefanana

No form four

But yes degree

aha hah

JF!
 
Inategemea umemaliza shule mwaka gani,kama ulimaliza miaka ambayo vyeti vina Picha basi Nenda baraza la mitihani pale ITV utapewa utaratibu,lakin kama ni miaka ile ya nyuma vyeti havina Picha..mmh sifaham!
 
Kuanzia 2009 kwenda juu vyeti vina picha unalipia kitu kama laki moja unapata kingine ila kurudi nyuma utapewa udhibitisho tu.

a 2019 hupewi kingine huwa wanatoa udhibitisho ambao haupewi mkononi unawapa address wanatuma wao uko inakotakiwa.
 
2009 Mtu huyo amemaliz mwaka huu
 
Kuanzia 2009 kwenda juu vyeti vina picha unalipia kitu kama laki moja unapata kingine ila kurudi nyuma utapewa udhibitisho tu.

a 2019 hupewi kingine huwa wanatoa udhibitisho ambao haupewi mkononi unawapa address wanatuma wao uko inakotakiwa.
Nmekufahamu Mkuu pamoja Shukran
 
Kuanzia 2009 kwenda juu vyeti vina picha unalipia kitu kama laki moja unapata kingine ila kurudi nyuma utapewa udhibitisho tu.

a 2019 hupewi kingine huwa wanatoa udhibitisho ambao haupewi mkononi unawapa address wanatuma wao uko inakotakiwa.
Mkuu naomba ufafanuzi hapa
 
Kuanzia 2009 kwenda juu vyeti vina picha unalipia kitu kama laki moja unapata kingine ila kurudi nyuma utapewa udhibitisho tu.

a 2019 hupewi kingine huwa wanatoa udhibitisho ambao haupewi mkononi unawapa address wanatuma wao uko inakotakiwa.
Mkuu naomba ufafanuzi hapa nahisi sijaelewa.
 
Back
Top Bottom