Msaada wa jinsi ya kuhusu kuchukua mzigo posta

Msaada wa jinsi ya kuhusu kuchukua mzigo posta

Mkuu mie nahitaji darasa kidogo kwa ebay kwani ndio sehem ambayo napata ukakasi kununua huko.
eBay ni rahisi tu. Kule hakikisha seller unayenunua ana Money back guarantee (inaandikwa kwenye item details) na awe na feedback nzuri. Epuka sellers wanaosema No Returns. Hao ni jau. Ebay unarudishwa hela full hata kma seller akileta ubishi
 
eBay ni rahisi tu. Kule hakikisha seller unayenunua ana Money back guarantee (inaandikwa kwenye item details) na awe na feedback nzuri. Epuka sellers wanaosema No Returns. Hao ni jau. Ebay unarudishwa hela full hata kma seller akileta ubishi
Nakucheki inboksi unijibu plz
 
Hii kiongozi
IMG_20200710_202251.jpg
 
1. Kma huna huduma za kibenki Airtel na Voda wana toa mastercard kwa wateja wa Mpesa na Airtel money. Ingia kwenyew menu ya AirtelMoney/Mpesa then changua option ya mastercard. Utatengeneza card.

Lakini kwasabab kadi hzo hazipokei hela inakua ishu kma ukidai refund ikiwa mzigo haujafika au ni mbovu.
Hvyo basi jiunge PayPal na una link card hyo uliyopewa na Airtel au Voda.

Kupitia PayPal kma ukiwa refunded hela yako itaingia PayPal na unaweza kuitoa kiurahisi kwa kuituma bank au money transfer zilizokua supported.

Mm natumia Airtel Money mastercard na PayPal kuagiza vitu

2. Ukiagiza mzigo inategemea waliotumia wametumia service gani.

Dhl na ups huwa inaingia Airport na wanaweza kukwambia ukachukilie kule. Airport ni jau mzee wanapiga hela kubwa sana kule, so epuka DHL unless kma uko tayari kutoa hela kubwa

Wengine wanatumia Posta. Inategemea sasa kma eBay na Aliexpress mara nyingi makampuni yanayohusiana na shipping huwa wanatuma Posta ya pale Posta Mpya unaenda kuchukua sehem ya Parcel (mm mwenyew ndo mara yangu ya kwanza kuchukulia kule)

Na kuna mizigo mingine inayoenda Posta office ya Kariakoo. Hii inakua mara nyingi ile iliyotumwa na Aliexpress standard shipping inakuwa in bulk. Posta office ya kkoo ndo nimeenda sana na kwa experience yangu kule ndo huwa silipishwi kodi na vinavyoenda kule ni vitu vidogo vidogo vya bei chee kma earphone, visandal, vihereni nk.


Nnachokushauri ni kwa ssahvi inaonekana wadau wamekomalia kodi. So ukiagiza kitu upigie kodi appromation ya 18% VAT kwa vitu vya electronics for personal use. Au kabla hujaagiza kaulizie kwanza posta kuwa kma hicho kitu kikingia kodi itakuwa bei gani. Watakuhesabia watakuambia ili ujue mapema kabla mzigo hujaingia alaf ukashindwa kuukomboa sabab kodi ni kubwa
Sio kweli, nimetumia saana M-Pesa MasterCard refund inakubali hata kama kadi ime-expire hela inakuja kwenye akaunt ya M-Pesa moja kwa moja
 
Napoenda mwisho kwenye kulipia nakutana na error kua inabidi wachek info zangu vizuri ila nikiendelea apo inazingua na nakumbuka last tym nilijisajili kila kitu fresh
Kacheki adress yako kma iko sahihi na umejaza vibox vyote. Inagoma kwenye kulipa au?
 
Acha tu mzee. Sikuhz wanapiga kinoma. Hawakuachi yaani. Sikuhz ukiwa na kimzigo kilichozd 50,000 tu jua kabisa kua 18% ya VAT inakuhusu. Kuna mshkaji wangu alikua anaenda kuchukua simu zamani na hawadai hela yoyote sikuhz wamekomalia. Kila mzigo ukitoka chalii wa tra anataka upite kwake kwanza
ĎHL ni cha kike so TRA hawakuachi.
Bora mzigo uchelewe via shipping Courrier wengine waweza nusurika na hao wazee wa %
 
DHL ni jau mzee. Kule unalipa hela nyng alaf bado wanakuachia msala wa tax. Alaf wana ishu za kukuambia unatakiwa kulipia document elf 50.

Mm nimetumia Royal Mail wamefikisha mzigo wangu posta wao wenyew alaf imechukia week 2 tu mzigo kutoka UK mpk Bongo. Na bei zao za shipping ni rahisi sana.

Sema pia uzuri wa eBay ukishindwa kutoa mzigo unaweza enda kudai hela yako tu ukasema mzigo haujaupata. Wanakurudishia kiroho safi.
Hapo kwenye red si sawa màana hayo madudu ndiyo yanawafanya Seĺler wengi wasiship mizigo nchi zetu hizi.
Bora uwe honest kwenye hizi mambo maana jañja janja zinawaharibia wengi.
 
Vipi mzigo ukifika huku washakurefund huwa unafanyaje au kufaana.
Hili game uhaminifu ni muhimu!!
zikitokea Issue kama hizo wewe fanya contact na seller naye atakupa njia ya kufanya mlipane ila mara nyingi seller wa ebay wanakupa email uwalipe kwa paypal na wa aliexpress wao huwa wanashauri ununue kitu (hawatakiship) then uthibitishe umekipokea ili wakate hela yao.
Mara nyingi nimefanya hivyo japo kuwa inatokea kwa nadra sana baadhi ya seller kupotezea na kuomba muendelee kufanya biashara.
 
ndo ivyo man Kama nilivyo kutonya maana nilidownload app ya dhl African eShop ambayo inaunganisha na kampuni ya dhl na e-commerce Kama vile ebay, Amazon and etc wakanidai TIN ili Kodi yangu iwe inalipwa mojakwamoja ko nilivyoona tu hiyo eBay nikajua tu ni Kodi maana kampuni nyingi za huko wakiandika na Bei ni bila tax tofauti na kikuu wao wanajumuisha kilakitu
sorry hivi ukitumia application ya ebay au amazon huku unakuja kulipia shingapi?
 
sorry hivi ukitumia application ya ebay au amazon huku unakuja kulipia shingapi?
Generally 18% to 20% ya bei uliyonunulia hcho kitu kma hakina special taxes na ni kipya. Kma vitu vya electronics for personal use ni kwenye hyo quote.
 
eBay ni rahisi tu. Kule hakikisha seller unayenunua ana Money back guarantee (inaandikwa kwenye item details) na awe na feedback nzuri. Epuka sellers wanaosema No Returns. Hao ni jau. Ebay unarudishwa hela full hata kma seller akileta ubishi
Mkuu naomba unifahamishe zaidi kuhusiana na hawa ebay,
Namna ya ununuzi,
Namna ya kumtambua seller mzuri,
Mzigo unapokelea wapi.
 
Mkuu naomba unifahamishe zaidi kuhusiana na hawa ebay,
Namna ya ununuzi,
Namna ya kumtambua seller mzuri,
Mzigo unapokelea wapi.
Ununuzi ni kama kawaida tu. Unaweka card yako wakati wa checkout au unatumia PayPal.

Seller mzuri unaangalia feedback alizopata

Mzigo unaenda posta mpya kuchukua
 
Ununuzi ni kama kawaida tu. Unaweka card yako wakati wa checkout au unatumia PayPal.

Seller mzuri unaangalia feedback alizopata

Mzigo unaenda posta mpya kuchukua
Ok, mi natumia virtual master ya Airtel, nilikuwa sijui pa kwenda kufata mzigo tu
 
Ok, mi natumia virtual master ya Airtel, nilikuwa sijui pa kwenda kufata mzigo tu
Kwenye tracking pale ukiona tu imeandika "Held by customs" au "waiting for pick up" na posta hawajakutumia message nenda mwenyewe ukaifate
 
Dhl wangepiga 70k au laki. Hawa Royal Mail naona wako poa sana. Maana ndani ya week 1 na siku 4 mzigo ulikua tayari ushafika Dar na hyo ilikua na maishu ya Corona haya yaliyofanya vitu viwe slow huko nje.
Chief tupe darasa loyal mail tunaitumiaje? Kujiunga processes n.k
 
Back
Top Bottom