Mkuu naomba kuuliza kuna mzigo nataka kugiza kutoka China kwa kuwatumia AliExpress...
1:-Hv upande wa malipo unafanyaje Kama mtu hujajiunga na huduma za kibank,pia vp utaweza kuconvert tsh kwenda us dollar.
2ili nataka kujua mzigo ukifika huwa unafikia wapi au ndo posta Kama ulivyofikishiwa mzigo wako.
1. Kma huna huduma za kibenki Airtel na Voda wana toa mastercard kwa wateja wa Mpesa na Airtel money. Ingia kwenyew menu ya AirtelMoney/Mpesa then changua option ya mastercard. Utatengeneza card.
Lakini kwasabab kadi hzo hazipokei hela inakua ishu kma ukidai refund ikiwa mzigo haujafika au ni mbovu.
Hvyo basi jiunge PayPal na una link card hyo uliyopewa na Airtel au Voda.
Kupitia PayPal kma ukiwa refunded hela yako itaingia PayPal na unaweza kuitoa kiurahisi kwa kuituma bank au money transfer zilizokua supported.
Mm natumia Airtel Money mastercard na PayPal kuagiza vitu
2. Ukiagiza mzigo inategemea waliotumia wametumia service gani.
Dhl na ups huwa inaingia Airport na wanaweza kukwambia ukachukilie kule. Airport ni jau mzee wanapiga hela kubwa sana kule, so epuka DHL unless kma uko tayari kutoa hela kubwa
Wengine wanatumia Posta. Inategemea sasa kma eBay na Aliexpress mara nyingi makampuni yanayohusiana na shipping huwa wanatuma Posta ya pale Posta Mpya unaenda kuchukua sehem ya Parcel (mm mwenyew ndo mara yangu ya kwanza kuchukulia kule)
Na kuna mizigo mingine inayoenda Posta office ya Kariakoo. Hii inakua mara nyingi ile iliyotumwa na Aliexpress standard shipping inakuwa in bulk. Posta office ya kkoo ndo nimeenda sana na kwa experience yangu kule ndo huwa silipishwi kodi na vinavyoenda kule ni vitu vidogo vidogo vya bei chee kma earphone, visandal, vihereni nk.
Nnachokushauri ni kwa ssahvi inaonekana wadau wamekomalia kodi. So ukiagiza kitu upigie kodi appromation ya 18% VAT kwa vitu vya electronics for personal use. Au kabla hujaagiza kaulizie kwanza posta kuwa kma hicho kitu kikingia kodi itakuwa bei gani. Watakuhesabia watakuambia ili ujue mapema kabla mzigo hujaingia alaf ukashindwa kuukomboa sabab kodi ni kubwa