Msaada Wa JF

lady S

New Member
Feb 16, 2019
3
45
Habar wana jf, msaada tafadhali
Mm ni member mpya kwenye JF, tangu nifungue account ya jf ni kama siku tano hivi zimepita. Nikaambiwa nisubiri admin wa jf approve account yangu, ila juzi nikatumiwa sms kwenye email kuwa ameshapprove, but hadi sasa nashindwa Ku reply popote, hata Jana nilituma new topic ya kuomba msaada Juu ya ugonjwa Wa PID nilipata majibu ila ckuweza Ku reply chochote, msaada tafadhal labda kuna sehemu ya kufanya setting au vipi ? Nikitaka Ku reply naambiwa hivi > your account is currently pending for admin approval

Sent using Jamii Forums mobile app
 
xtaper

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
3,296
2,000

Ngoja nilifanyie kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom