ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
wanajamvi najua humu kuna wataalamu wa PCM na mambo mbalimbali. swali langu ni kwamba namba za viatu zinafanyiwa calculations vipi ? kiasi kwamba mfano namba 43 ni sawa na namba 9.
nimejaribu kutafuta mitandaoni lakini maelezo yao hayana uhalisia especially kanuni inayotumika kukokotoa 43 kuwa 9.
nimeishia kupata majedwali ambayo tayari yameshajazwa.
nimejaribu kutafuta mitandaoni lakini maelezo yao hayana uhalisia especially kanuni inayotumika kukokotoa 43 kuwa 9.
nimeishia kupata majedwali ambayo tayari yameshajazwa.