Msaada wa hili tatizo

bolivia

JF-Expert Member
Mar 3, 2021
2,851
4,546
Hbr ya x mass & mwaka mpya
Direct kwenye topiki,saa 9 usku wa leo

Nmestuka kutokana na kibaridi kati ya mapaja yangu ile kujigusa gusa
Naona nmejikojolea mkojo
Wa kawaida tuu alafu mwingi sana

Nmekurupuka bado najiuliza hapa hii sio
Kawaida yangu kwa zaidi ya miaka 20 sijawahi kujikojolea msaada plzz
Umri wangu ni 27.
 
We ni KE au ME?
 
Unakumbuka ndoto uliyoiota!?
IMG_20210615_203032_603.jpeg
 
Hbr ya x mass & mwaka mpya
Direct kwenye topiki,saa 9 usku wa leo

Nmestuka kutokana na kibaridi kati ya mapaja yangu ile kujigusa gusa
Naona nmejikojolea mkojo
Wa kawaida tuu alafu mwingi sana

Nmekurupuka bado najiuliza hapa hii sio
Kawaida yangu kwa zaidi ya miaka 20 sijawahi kujikojolea msaada plzz
Umri wangu ni 27.
Nenda Hospitali kamuone Daktari wa Magonjwa ya Akili atakusaidia sana.
 
Back
Top Bottom