mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
Jamani ni mda tu natumia simu aina ya samsung note 3.jana nimepatwa na tatizo la screen kutumika nusu namaanisha icon zimekuwa ndogo, kila nikiset font hakuna msbadiliko naombeni msaada.viandishi vimekuwa vidogo hadi macho yananiuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app