Kama mtu amekopa kiasi flani cha hela na akaweka thamana kitu chochote kile na mkakubaliana kuwa arejeshe hela hiyo baada ya muda flani. Kama atashindwa kurejesha ndani ya muda mliowekeana, je ni hatua zipi zichukuliwe kuuza dhamana yake?
Unampa notisi ya kusudio la kuuza halafu unauza. Lakini pia waweza kwenda mahakamani na kufungua kesi kuomba mahakama itoe amri ya kuuza. Kwa maelezo ya ziada tafuta elfu 20 nenda ofisi ya wakili lipa upewe ushauri kulingana na tatizo lako. Always remember, cheap is expensive. you seek cheap advice you are at your own peril.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.