Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,533
- 1,936
Wakuu,
Nnavya andika hivi nyumban kunamgogoro mkubwa, watoto wa nje ya ndoa wanataka kuiuza nyumba ambayo mama yangu ameachiwa na MME wake ambae alikwisha Fariki miakaa 3 iliyopita, wamemfanyia fujo mpaka sasa mama presha imepanda.
Naombeni msaada nifanyeje? Maama mm npo dar na mama yangu yupo geita. Plz msaada ni wa haraka ili nmsaidie mama yangu.
Nawasilisha wakuuu.