Nenda kaweke hiyo zuio mahakamani, kisha kesi kufanyiwa fujo. Mahakama itakapoamua hawatahili tu mwondoe weka dalali auze. Hawatachoka maadamu nyumba wanaiona itakuwa kila siku wako hapo, kuna cousin alishinda kesi kama hii akapangisha walikuja kuichoma kinyemela ikabaki auze kiwanja tu. Asimame ktk maombi atavuka tu.
Nashukru, sasa mama anaweza kupauza bila kuingiliwa?