Msaada wa haraka unahitaji

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Dec 24, 2014
609
1,006
Wakuu wasalam

Bila kupoteza mda nina shangaz yangu anapakana na mama mmoja ambapo kuna ugomv ulitokea na huyo mama kupelekeka kes mahakaman

Ishu ilisababishwa na paka wa huyo mama jiran kwenda kulia mlangon kwa shangaz na shangaz katika kumfukuza bas watoto wa yule mama waliona kile kitendo na ndipo wakaenda kumwambia mama yao kuwa shangaz kampiga yule paka

Sasa yule mama akaanza ongea kwa saut kuwa kama akiua paka wangu bas taua watoto wake yan watoto wa shangaz na ndipo shangaz nae baada ya kusikia hivo akamfata yule mama nyumban kwake na wakaanza tukanana na kurishiana maneno mbalimbali

Sasa yule mama kawahi polis kafungua jalada kwamba shangaz kamwita mchawi na kuwa anafuga majin na maseha na anataka kesi imeenda mahakaman na hivo ijumaa ndio siku kesi hio inasomwa

Sasa nimekuja kwenu wadau naomba msaada wa maswali ya kupambna na yule mama mana polis wanasema kitendo cha shangaz kumfata kwake hilo ni kosa

Sasa wajuv wa sheria nlileta kwenu ili tuone tunatokaje kwenye hilo sakata

N.b yule mama kafungua kes ya kudhalilishwa kwa kuitwa mchawi na yeye kufuga majini
 
Kwani kuna mtu alirecord hayo maongezi?..nani shahidi?

Hakuna sheria inasema mtu akimfuata mtu kwake ni kosa.

Unatakiwa uthibitisho bila kuacha shaka kwamba kumetokea kweli udhalilishaji,,je shangazi nae anao mashahidi?

Allegation za mama mchawi ni just words against shangazi words.

Inatakiwa ushahidi,pia shangazi nae awe na ushahidi.

Kuwahi kureport polisi hakumpi huyo mama justification ya kushinda kesi.
 
Shahidi wa shangazi ndo mtu muhimu,kitachotokea mashahidi watagongana,then uthibitisho kukosekana na kesi kutupwa kapuni..
Tena huyo mama alimuagiza shahid wa shangaz kwamba aje amwambie kama akiua paka bas yy ataua watoto na ndio shangaz kusikia na kumfuata na ndio wakaanza rushiana maneno
Alikua akimuagiza huyo shahid wa shangaz kwa saut ya juu na kwa jins nyumba zilivyokaribu ndio shangaz akasikia
 
Hamna kesi hapo,,mahakama hazifanyii kazi ya kuhukumu mambo ya kuchambana,,yeye akane hadi mwisho kuwa alisema bibi yule mchawi anafuga majini na shahidi wake asupport kuwa hakusema hivyo
 
Ndio hivo yan ujinga hatar

Nilichogundua kulikuwa na kitu kinafukuta paka ni kama katumika kufukunyua hasira zao,wakalishe chini wamalize tofauti zao!! Kukaa na chuki na visasi muda mrefu inaweza kuleta maafa zaidi ya hayo ya mahakamani.

Kuna Mmoja huko USA alifuga chuki ,siku majirani zake wanaondoa barafu kupeleka kwake akatoka na mguu wa kuku alivyojibiwa vibaya tu akapiga mtu na mke kwa bastola akaona haitoshi akaja kuwafumua ubongo kwa SMG ..yaani yote ni accumulation ya chuki za zamani.
 
Nilichogundua kulikuwa na kitu kinafukuta paka ni kama katumika kufukunyua hasira zao,wakalishe chini wamalize tofauti zao!! Kukaa na chuki na visasi muda mrefu inaweza kuleta maafa zaidi ya hayo ya mahakamani.

Kuna Mmoja huko USA alifuga chuki ,siku majirani zake wanaondoa barafu kupeleka kwake akatoka na mguu wa kuku alivyojibiwa vibaya tu akapiga mtu na mke kwa bastola akaona haitoshi akaja kuwafumua ubongo kwa SMG ..yaani yote ni accumulation ya chuki za zamani.
Aiseee uko vizur kong yan ni kama ulikuwepo yan huyo mama mda mwing amekuwa akimsema shangaz kwa vitu vya ajabu hivo huyo paka katumika tu kama ulivosema
 
Nawaza lakini sijui huyo paka watambeba kwenda mahakamani manake na yeye si lazima aonekane pale mahakamani kwa muheshimiwa hakimu kuwa ndiyo source ya mtofuano 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 paka huna hata diploma umetrend kutuacha ss wenye phd 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kinyo we! waiter lete balimi tatu special kwa Paka kajua kutingisha watu mtaani hahahahahahahha ze cat 🤣🤣🤣🤣 kawasha moto
 
Back
Top Bottom