Habarini wana jamvi jana nipishusha windo comuter mbili ila zipo connected kwenye network zinashea printer sasa nimemaliza ila nime plug in cable hazionekani nika create small office network ila bado kwa mwenye ujuzi zaidi naomba anifahamishe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.