Msaada wa haraka

Msaada wa haraka

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
Msaada wana jf nilkuwa nipo online ghafla ukaja ujumbe kwamba computer yako imekuwa blocked for violation of us rule kila NIKIWASHA nakutana na ujumbe uleule na unatakiwa ulipe faini ya usd 300 kila nkifungua cwez fanya chochote nakutana na ujumbe ule ule nafikir ni virus ...kwa yeyote anaejua nini cha kufanya zaidi ya formating
 
Sounds like spyware
Use updated spyware scanner to detect and remove that, formating computer is final decision after failing all other ways


Msaada wana jf nilkuwa nipo online ghafla ukaja ujumbe kwamba computer yako imekuwa blocked for violation of us rule kila NIKIWASHA nakutana na ujumbe uleule na unatakiwa ulipe faini ya usd 300 kila nkifungua cwez fanya chochote nakutana na ujumbe ule ule nafikir ni virus ...kwa yeyote anaejua nini cha kufanya zaidi ya formating
 
mkuu boot na safe mode then ikiwaka mashine click start andika system restore then restore mashine yako kwenye checkpoint ya karibu usually mara ya mwisho ulivo update pc then utamaliza tatizo
 
Back
Top Bottom