Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 92,252 113,647 Sep 21, 2012 #1 Kama kuna mtu anafanya kazi benki ya NBC tafadhali naomba uwasiliane nami kupitia PM. Nina shida/jambo la muhimu sana ambalo nataka nijue wapi pa kuanzia. Natanguliza shukurani zangu.
Kama kuna mtu anafanya kazi benki ya NBC tafadhali naomba uwasiliane nami kupitia PM. Nina shida/jambo la muhimu sana ambalo nataka nijue wapi pa kuanzia. Natanguliza shukurani zangu.