Msaada wa haraka wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka wakuu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by NGOSWE.120, Sep 21, 2012.

 1. NGOSWE.120

  NGOSWE.120 JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Mnaojua wapendwa wa jf,

  kuna umbali gani kutoka Dar hadi chalinze (km), na kuna umbali gani toka chalinze hadi arusha (km), naombeni msaada wenu jamani kwa hili tatizo langu.

  Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
   
Loading...