ahsanteAmeshakufa!
Duuh mkuu pole sana...!! Kopa hata mahali kaka umpeleke dogoo uje kuanza kupambana.. Ila wanawake nyokaa sanaaaWife kanikimbia kakomba kila kitu,ndani
Mpaka pesa niliyo kuwa naiweka ndani kaondoka nayo nayo,kaniachia mtoto.
Hivi nahitaji kupata kiasi hicho ili niweze mpeleka mtoto kwa bibi yake mbeya.
Acha kuchekesha..kwenye mtandao unaomba ela kizembe ivo kama vle unamuomba mjomba. Kwani huna watu wanaokufaham direct uwafate hao? Braza ela haitolew kirahis rais ivo wengi wangeshakua matajirrUlikua unaweka hela ndani!
Ahsante kwa ushauri, ila ilo nililianza mapema na likagonga mwambaDuuh mkuu pole sana...!! Kopa hata mahali kaka umpeleke dogoo uje kuanza kupambana.. Ila wanawake nyokaa sanaaa
Wife kanikimbia kakomba kila kitu,ndani
Mpaka pesa niliyo kuwa naiweka ndani kaondoka nayo nayo,kaniachia mtoto.
Hivi nahitaji kupata kiasi hicho ili niweze mpeleka mtoto kwa bibi yake mbeya.
Nisamehe mkuu,Acha kuchekesha..kwenye mtandao unaomba ela kizembe ivo kama vle unamuomba mjomba. Kwani huna watu wanaokufaham direct uwafate hao? Braza ela haitolew kirahis rais ivo wengi wangeshakua matajirr
Si ana haraka mkuu?
Labda anataka kwenda na Ndege!
Kuhusu swala la mtoto omba msaada kwa majiraniNdiyo kwa sababu nilimwamini
Hapa inabidi ninunue vyakula vya kumuachia mama na niache pesa inayobaki, siwezi kwenda kumuweka mtoto kwa mama mikono mitupu wakati yeye ndiye aliyekuwa ananitegemea Mimi, imenibidi niache pesa walau auze hata nyanya wakati Mimi napambana.ni kutokea nguruka mpka mbeyaNauli ya Mbeya kutokea wapi huko hadi uombe 200k..!!
Kuhusu swala la mtoto omba msaada kwa majirani
Ahsante kwa ushauri