yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,542
- 3,502
Naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo.
Ni kwamba mke wangu kajifungua ni siku ya tatu sasa hatoi maziwa hata tone. Yamegoma kabisa kutoka.
Kwa sasa mtoto anapewa maziwa ya Lactogen 1. Nina wasi wasi kama haya maziwa yataweza kuimarisha afya ya mtoto kama ambavyo maziwa ya mama yangefanya.
Hospital tumeenda lakini hatujapata msaada zaidi.
Naombeni ushauri, nifanyeje? Je niendelee kumpa lactogen?
Mrejesho:
Nawashukuru sana wote mliochangia kwenye uzi huu na mlionifata PM kunishauri zaidi. Tulitumia unga wa mbegu za maboga pamoja na pilipili mamga. Maziwa yametoka vizuri sana mpaka Lactogen mtoto haitaki tena.
Tatizo lililobaki ni kwamba mtoto anasumbuliwa na chango. Usiku halali, anateseka sana. Nimenunua dawa ya infacol baada ya gripe water kutosaidia kabisa. Kaanza jana kutumia. Kama kuna mwenye ushauri katika hili nitashukuru sana.
Nawashukuru sana wana JF.
Cc: MNANSO
Smart911
Membe Jr
Sky Eclat
Madame S