Msaada wa haraka unahitajika

texaz mc

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
371
203
Habari zenu wana JF.

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nina tatizo la sickle cell, sijapata kuugua kwa muda sasa lkn tokea juzi halo imebadilika ghafla, kifua kilinibana kupumua ikawa shida pia kiliuma sana mbali na hilo nilisumbuliwa sana na maumivu makali ya kiuno, kwenda dispensary nikaambiwa sina malaria but UTI na pia wakanichoma sindano ya diclofenac kutuliza kifua na maumivu ya kiuno, lkn cha ajabu kifua kilitulia lkn kiuno bado maumivu ni yale yale pia Jana nikachoma tena sindano hiyo hiyo ya diclofenac lkn maumivu ya kiuno still yanapngezeka, usiku was Jana sikulala kabisa kwa maumivu hayo.

Hivyo, ambaye anatambua dawa nzuri ya kukata haya maumivu ya kiuno anisaidie maana nateseka sana.
Mungu awabariki Nawasilisha
 
Flamarx Ni pain killer lakini nikuonye tu hua Zina uraibu! Kidonge jero tu hua nikiwa na maumivu makali natumia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom