Msaada wa haraka unahitajika

Msaada wa haraka unahitajika

impelle

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
832
Reaction score
1,110
Habari ya asubuhi?

Toka Jumatatu nimekuwa najaribu kufanya online application katika chuo kikuu cha ardhi, nimefanikiwa kufungua account na kuanza kujaza step ya kwanza,lakini step inayofuata ya Application fee, ndo imekuwa shida, inaniandikia

''Please wait for your Reference number... You will automatically be redirected to another page once the the Payment Reference number is received''

Nimesubir toka hiyo juzi mpaka sasa,nikianza upya nikifika hapo ndo naambiwa nisubiri.
Nimejaribu kupiga number za mawasiliano yao lakini hawapokei.

Tafadhali naombeni msaada, nifanyaje ili niweze kufanikisha zoezi.

IMG_20170727_080306.jpg


IMG_20170727_080327.jpg
 
Bado mifumo ya kimtandao bongo imekuwa shida, me tangu jana nahangaika na ya udsm kutoka step ya 3 kwenda ya 4 inaandika error na ukiwapigia cm hazipatikani
 
Bado mifumo ya kimtandao bongo imekuwa shida, me tangu jana nahangaika na ya udsm kutoka step ya 3 kwenda ya 4 inaandika error na ukiwapigia cm hazipatikani
yaani wanabore sana, ma IT wao hawa sijui wana matatizo gani..........waruhusu tutume mabahasha
 
Back
Top Bottom