Msaada wa kusomeshwa unahitajika haraka

Uncertainty

Member
Jan 23, 2012
70
27
Habari zenu natumai mko salama.....
Ninaomba kwenda kwenye lengo la Uzi huu
Mimi ni kijana yatima (wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo) kutokea mkoa wa Mwanza, kwasasa ninasoma chuo kikuu cha Kampala nikichukua stashahada ya Utabibu

Historia yangu in kuwa mwaka 2011 nikiishi na baba mdogo nilimaliza kidato cha NNE na kufanikiwa kupata Division II na kuchaguliwa masomo ya EGM shule ya Sengerema, kwakua nilikuwa naishi kwa baba Mdogo alinishauri nisiende nisubiri atanipeleka chuo moja kwa moja, sikupinga ila alishindwa kutekeleza ahadi yake , mwaka ukapita nikaomba masomo ya stashahada ya udaktari chuo cha Kolandoto lakini alishindwa kunigharamia hivyo nikakaa tena mwaka mwingine nyumbani.

Mwaka uliofuata nikaomba tena chuo kupitia NACTE nikachaguliwa chuo cha Afya NKINGA bahati nzuri shemeji yangu akaamua kunisaidia nikasoma mpaka mwaka wa pili shemeji akakwama katika gharama za masomo hivyo nikarudi nyumbani.

Sikukata tamaa nikakaa mwaka mmoja nyumbani mwaka Jana nikaomba chuo cha KIU nikapata nafasi ikiwa na uhakika toka kwa shemeji kuwa atanisaidia kwa kila kitu akanisaidia laki 3 (300,000) bahati mbaya biashara aliyokuwa anategemea ya kuuza Ng'ombe ikakwama baada ya ngombe wake wote kukamatwa porini, hivyo nikaaamua kutafuta msaada katika mashirika mbali mbali na watu binafsi nikakwama, ila nilikuwa na akiba ya 400,000 niliyopata baada ya kufanya vibarua mbalimbali .Nikalipia chuo (545,000/=)na gharama kidogo za matumizi binafsi ikaisha

Ila kwasababu sikumaliza gharama ya ada sikuruhiwa kufanya mitihani ya CAT ONE(Continuous Assessment) na sasa nimekwama kabisa na wiki ijayo mitihani ya CAT 2 inaanza na ada kiasi kinachohitajika sijapata.

Kwa Huruma yenu ninaomba kwa yeyote atakaeguswa anisaidie kiasi cha 550,000/= zilizobaki kwa semester hii ili niweze kufanya mtihani ama amPM huyu alietuma post hii kupata maelezo zaidi

Mchanganuo wa Ada
Kiasi kinachohitajika kwa semester ni 1,095,000/=
Nimefanikiwa kulipa 545,000/=
Nadaiwa 550,000/=

Ataekuwa na uwezo wa kunisaidia atume hela kiasi chochote kwenye akaunti za chuo zifuatazo na anitumie PM slip

1. CRDB AC No 01J1098093700
2. UBA AC No 56010030000610
3. KCBA AC No 240603599

Nimepost kwa niaba ya kijana huyo..
 
Si kunasponsor braza apo KIU wanakulipia percentage fulani ya Ada kama hujajua nitafute nikueleweshe afu na mm niko apo

Hapo juu ulisema kwamba umepost kwa niaba ya mtu mwingine
Matokeo form six yapo je ...???????

Ok kumbe advance hukuenda ulizingua mkuu

Hapana sikwenda kabisa niliamini Mawazo ya Baba Mdogo
Hapo juu unajibu kwamba ni wewe na uniamini mawazo ya baba yako mdogo.
Dah nimeshindwa kufanya mitihani imeanza Leo
Hapa naona una lala mika kwa kushindwa kufanya mtihani leo wakati wakati post yako ya kwanza ulisema umeandika thread kwa niaba ya mwingine.
 
Hapo juu ulisema kwamba umepost kwa niaba ya mtu mwingine

Hapo juu unajibu kwamba ni wewe na uniamini mawazo ya baba yako mdogo.

Hapa naona una lala mika kwa kushindwa kufanya mtihani leo wakati wakati post yako ya kwanza ulisema umeandika thread kwa niaba ya mwingine.
Yote nayo post ni kwa niaba yake
 
Back
Top Bottom