sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,283
- 976
Ni ujinga unakusumbua. Shida sio kujua ni nini kinaendela S. Sudan. Shida ni wewe ulivyoelezea. Mbona hapa umeweza kuelezea vzr! Unapofanya kosa ni vizuri kukiri!
Ujumbe haujakamilika
mkuu, elezea basi Dr
Naseeb
Almas ni nani? amepatwa na nini? Bor UN CAMP
ndiyo nini na ni wapi na je kumetokea nini hapo kwenye hiyo camp? na
ubalozi unatakiwa kutoa msaada kwa ajili ya nini na wa namna
gani?
Sio ujinga tu, ni upuuzi
unamsumbua, na title yake aliyojipa hata kama kweli haiendani na
maandishi yake..
hapa ni jf, tunapeana habari, huwezi kuanzia habari katikati eti kwa
kudhani kila mtu anajua mwanzo wake.. nyie ndio mnajiita wasom.. si
kila mtu yupo mjini au kila m2 ana'acess na radio au tv. wengne
wanategemea simu na jf tui!
hopeless kabisa wewe!
NB: Mungu amsaidie huyo jamaa na wote wenye mkinzo wa hivyo!
Serikali imesikia.
hivi wewe mzima au umelewa?
tatizo ni kwamba watanzania hatusikilizi habari,wanaoelewa nini kinaendelea SOUTH SUDAN wanaelewa nini naongelea na ndio maana nikasema,kama huna msaada ni vyema ukakaa kimya tu yatosha.
tumesha pata watu wanaendelea kuwasiliana na ubalozi husika,nyie subirini post iwe edited.
Wadau this is serious, tusifanye utani.
Bungeni ilibidi waziri wa mambo ya nje aulizwe swali la dhararura kuhusu mkakati wa kuwasalimisha watanzania waliopo huko.
Tumshukuru Mungu nchi yetu ina amani
Hili jamaa l.iitoa mada bishi kama shi.pa hadi nasikia hasira.
Dr. Batilda Burian ni balozi wetu Kenya na ndiye anawakilisha Sudani ya Kusini. Hatukuelewi kwani hatuna balozi kule.
Ni ujinga unakusumbua. Shida sio kujua ni nini kinaendela S. Sudan. Shida ni wewe ulivyoelezea. Mbona hapa umeweza kuelezea vzr! Unapofanya kosa ni vizuri kukiri!
Watu wanasikiliza bongofleva tu.... South Sudan kimenuka muda tu na sielewi mtu unashindwaje ku-connect title na alichoandika mtoa mada... mi nilielewa kabla hata sijafungua content yake, waganda na wakenya kule ndio kama kwao wamejazana mno tofauti na wabongo wapo kwa uchache... Serikali ifanye hima kuwarudisha maana inasemekana kuna uwezekano wa kutokea mauaji ya Kimbari
Pimbi wewe Afisa gani balozi
hujui kinachoendelea duniani au ndo kazi za kupewa kindugu wakati
kichwani ni Zero kabisa unatia aibu bora ungekaa kimya badala ya
kuonyesha upumbavu wako
umeshaelezwa toa taarifa sahihi huelewi bado unaleta ukilaza wako hapa..najua kinachoendelea dunian kuliko wewe uliyekurupuka shame on uhahahahaha
afisa ubalozi hujui BOR ni nini? mbona ni kichekesho,afisa ubalozi
huelewi nini kinaendelea ktk hii dunia,kwanini usiachie ngazi kama ni
hivyo?
Tumshukuru Mungu nchi yetu ina amani