engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Huyu Dr Naseeb Almas yupo Bor UN CAMP,kama ubalozi unapitia JF basi ni vyema ukatusaidia kutuokolea huyu ndugu yetu
kwani kwa sasa mitandao yote ipo off na simu hazifanyi kazi.
Naseeb Almas in Bor, South Sudan
Wandugu tuzidi kuombeana hali bado ni tete sana hapa Bor.
Umekunywa na kulewa denge?
Mbona hueleweki wewe? Au unaandika huku kombora linapita juu ya paa?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
mnaleta utani ktk mambo ya msingi
sema wapi unataka pafanyiwe editing? ujumbe upo sawa na unaeleweka,kama huna msaada unakaa kimyaUnajua sifa moja ya u-tanzania ni ubishi usio na maana! Ukiona umeambiwa hueleweki jaribu ku-edit post yako!
sema wapi unataka pafanyiwe editing? ujumbe upo sawa na unaeleweka,kama huna msaada unakaa kimya
Mkuu watu wengine ni wa ajabu kabisa. Waafrika! Japo mimi ni mwafrika lakini sina hamu nao! Mwache na ubishi wakeUjumbe haujakamilika mkuu, elezea basi Dr Naseeb Almas ni nani? amepatwa na nini? Bor UN CAMP ndiyo nini na ni wapi na je kumetokea nini hapo kwenye hiyo camp? na ubalozi unatakiwa kutoa msaada kwa ajili ya nini na wa namna gani?
Ujumbe haujakamilika mkuu, elezea basi Dr Naseeb Almas ni nani? amepatwa na nini? Bor UN CAMP ndiyo nini na ni wapi na je kumetokea nini hapo kwenye hiyo camp? na ubalozi unatakiwa kutoa msaada kwa ajili ya nini na wa namna gani?
Mimi ni afisa wa ubaloz lakini nashindwa kukusaidia kwa sababu hujatoa maelezo vyema...mdau Fadhil paulo kakupa somo
Mkuu watu wengine ni wa ajabu kabisa. Waafrika! Japo mimi ni mwafrika lakini sina hamu nao! Mwache na ubishi wake
Bor is the capital of Jonglei State in the Republic of South Sudan. Continue Reading[h=2]Location[/h]The town of Mading-Bor is Jonglei State capital city', Jonglei State, in central South Sudan, approximately, by road, north of Juba, the capital and largest city in that country. The town is located on the east bank of the White Nile. The coordi... From Wikipedia, the free encyclopedia · Edit on Wikipedia |
tatizo ni kwamba watanzania hatusikilizi habari,wanaoelewa nini kinaendelea SOUTH SUDAN wanaelewa nini naongelea na ndio maana nikasema,kama huna msaada ni vyema ukakaa kimya tu yatosha.
tumesha pata watu wanaendelea kuwasiliana na ubalozi husika,nyie subirini post iwe edited.
Mimi ni afisa wa ubaloz lakini nashindwa kukusaidia kwa sababu hujatoa maelezo vyema...mdau Fadhil paulo kakupa somo
Pimbi wewe Afisa gani balozi hujui kinachoendelea duniani au ndo kazi za kupewa kindugu wakati kichwani ni Zero kabisa unatia aibu bora ungekaa kimya badala ya kuonyesha upumbavu wako
asante mkuu
jamaa yupo BOR mji ambao wanajeshi waasi wameuteka na kwasasa anasiku 3 hajalala wala kula,leo kanitumia ujumbe kuwa kapata nusu sahani ya wali bila maji ya kunywa,hali ni mbaya sana na jana wanajeshi wamerusha NPG lakini hazikuripuka,imekuwa ni bahati.
msaada wa haraka unahitajika,ili watanzania waliopo huko waondolewe,kibaya zaidi,wenzetu waganda wamepeleka jeshi kuwaondoa watu wao.
mnaleta utani ktk mambo ya msingi