Msaada wa haraka unahitajika-Ubalozi wa Tanzania SOUTH SUDAN

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
updates
asanteni kwa d
ua zenu wadau,Dr Naseeb,amefanikiwa kupata ndege na sasa amefika JUBA , sehemu ambako ni salama zaidi ya BOR.
mungu ni mwema kwa kweli

Mbona hueleweki wewe? Au unaandika huku kombora linapita juu ya paa?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
sema wapi unataka pafanyiwe editing? ujumbe upo sawa na unaeleweka,kama huna msaada unakaa kimya

Ujumbe haujakamilika mkuu, elezea basi Dr Naseeb Almas ni nani? amepatwa na nini? Bor UN CAMP ndiyo nini na ni wapi na je kumetokea nini hapo kwenye hiyo camp? na ubalozi unatakiwa kutoa msaada kwa ajili ya nini na wa namna gani?
 
Mkuu watu wengine ni wa ajabu kabisa. Waafrika! Japo mimi ni mwafrika lakini sina hamu nao! Mwache na ubishi wake
 
Mimi ni afisa wa ubaloz lakini nashindwa kukusaidia kwa sababu hujatoa maelezo vyema...mdau Fadhil paulo kakupa somo
 
tatizo ni kwamba watanzania hatusikilizi habari,wanaoelewa nini kinaendelea SOUTH SUDAN wanaelewa nini naongelea na ndio maana nikasema,kama huna msaada ni vyema ukakaa kimya tu yatosha.
tumesha pata watu wanaendelea kuwasiliana na ubalozi husika,nyie subirini post iwe edited.
 
tuwe tunajitahidi kusoma na kuelewa,ukiona huelewi neno,unaliingiza ktk google na utapata majibu yake.nimekusaidia hapa ili siku nyingine usiwe unauliza kila jambo

About
[h=2]Bor, Sudan[/h]

City

Bor is the capital of Jonglei State in the Republic of South Sudan.
[h=2]Location[/h]The town of Mading-Bor is Jonglei State capital city', Jonglei State, in central South Sudan, approximately, by road, north of Juba, the capital and largest city in that country. The town is located on the east bank of the White Nile. The coordi...
Continue Reading
From Wikipedia, the free encyclopedia · Edit on Wikipedia

tatizo ni kwamba watanzania hatusikilizi habari,wanaoelewa nini kinaendelea SOUTH SUDAN wanaelewa nini naongelea na ndio maana nikasema,kama huna msaada ni vyema ukakaa kimya tu yatosha.
tumesha pata watu wanaendelea kuwasiliana na ubalozi husika,nyie subirini post iwe edited.

Mbona umeeleweka hawa ambao hawajakuelewa wanamatatizo yao kwa kinachoendelea S.Sudan sasa hivi hupaswi kuuliza maswali mengi labda wangekuuliza hiyo BOR UN Camp ipo wapi sasa kama hata huyo afisa balozi tu hapo hawelewi kinachoendelea kazi tunayo Watanzania
 
Mimi ni afisa wa ubaloz lakini nashindwa kukusaidia kwa sababu hujatoa maelezo vyema...mdau Fadhil paulo kakupa somo

Pimbi wewe Afisa gani balozi hujui kinachoendelea duniani au ndo kazi za kupewa kindugu wakati kichwani ni Zero kabisa unatia aibu bora ungekaa kimya badala ya kuonyesha upumbavu wako
 
asante mkuu
jamaa yupo BOR mji ambao wanajeshi waasi wameuteka na kwasasa anasiku 3 hajalala wala kula,leo kanitumia ujumbe kuwa kapata nusu sahani ya wali bila maji ya kunywa,hali ni mbaya sana na jana wanajeshi wamerusha NPG lakini hazikuripuka,imekuwa ni bahati.
msaada wa haraka unahitajika,ili watanzania waliopo huko waondolewe,kibaya zaidi,wenzetu waganda wamepeleka jeshi kuwaondoa watu wao.
 
hizi taarifa ni muhimu zikawafikia wahusika ili hatua madhubuti zichukuliwe,.

Tuache masihara wakuu,..
 
asante mkuu
jamaa yupo BOR mji ambao wanajeshi waasi wameuteka na kwasasa anasiku 3 hajalala wala kula,leo kanitumia ujumbe kuwa kapata nusu sahani ya wali bila maji ya kunywa,hali ni mbaya sana na jana wanajeshi wamerusha NPG lakini hazikuripuka,imekuwa ni bahati.
msaada wa haraka unahitajika,ili watanzania waliopo huko waondolewe,kibaya zaidi,wenzetu waganda wamepeleka jeshi kuwaondoa watu wao.

Ni ujinga unakusumbua. Shida sio kujua ni nini kinaendela S. Sudan. Shida ni wewe ulivyoelezea. Mbona hapa umeweza kuelezea vzr! Unapofanya kosa ni vizuri kukiri!
 
Wadau this is serious, tusifanye utani.

Bungeni ilibidi waziri wa mambo ya nje aulizwe swali la dhararura kuhusu mkakati wa kuwasalimisha watanzania waliopo huko.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom