manditoo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 257
- 128
Mmmmmh Nyama Kwa Nyama utagundua bhana kwani ndo unaanza?Nope, wanaume now days hawaaminiki, wanaweza ivua juu kwa juu Bila ww kujua
Mmmmmh Nyama Kwa Nyama utagundua bhana kwani ndo unaanza?Nope, wanaume now days hawaaminiki, wanaweza ivua juu kwa juu Bila ww kujua
Hii niyakipekee kwa kawaida huwa ni siku 3 au 5 kwa hali yako kimbia mapema hospital.Habari ya tarehe 28 wakuu, naomba mnisaidie kunifahamisha tafadhali, hivi inawezekana mwanamke akaingia kwenye siku zake siku moja na ya pili akawa amemaliza? Hali hii imenitokea mm hadi nikapata wasiwasi, hii ni Mara ya pili sasa, Mara ya kwanza ulikuwa ni mwezi Ulopita, na sasa hivi Hali imejirudia.
Naomba wenye uelewa na hili mnisaidie. Pia nataka kuuliza kama kunaweza kukawa na uhusiano na hili, nimejikuta napenda kutumia malimao katika chai hii inaweza Kuwa sababu inayochangia?
Je Kuna madhara gani katika Hali hiyo, maana nimejikuta napata wasiwasi sana.
Nawasilisha, naomba msaada wenu tafadhali.
si hali ya kawaidaInawezekana kwenda period siku mbili hata moja pia ..wapo wa hivyo
Ila kuhusu utumiaji wa malimao na hiyo hali hata sifahamu
Ndio maana nikakueleza...kwa sababu hakuna dokta Atakaekueleza hilo!Kama ni kweli basi hii inaweza Kuwa sababu, coz ni baada ya kumpata huyu nilonae ndo nimeanza kuona tatizo
unazingua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji38] una mimba
Picha yako ndiyo hiyo yenye makario makubwa. Nenda hospital AminaNimeshangaa kwa sababu mm huwa ni siku Tatu, siku zote, sasa hii ya moja imenipa wasiwasi
How sasa. Mtoa mada ameshanijibu na tumeshaelewana. Wewe umezinguliwaje hapo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji87]unazingua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe na ubabe wooote wa kupenda hela bado unakwenda mwezini?hakuana uhusiano wa limao na period yako.. ila angalia diet yako me nikibadilisha namna ya ulaji huwa naweza kosa kabisa period au ikapunguza siku me kwangu huwa hainipi shida naweza jua mwezi huu kwa ulaji huu navusha ,
ha ha ha kwa hiyo mkuu ulijua me siendi mwezini? mkuu mi jike kama wengine tuKumbe na ubabe wooote wa kupenda hela bado unakwenda mwezini?
Punguza ubabe, wanajimu hawako ivooo
Tabia nchiHabari ya tarehe 28 wakuu, naomba mnisaidie kunifahamisha tafadhali, hivi inawezekana mwanamke akaingia kwenye siku zake siku moja na ya pili akawa amemaliza? Hali hii imenitokea mm hadi nikapata wasiwasi, hii ni Mara ya pili sasa, Mara ya kwanza ulikuwa ni mwezi Ulopita, na sasa hivi Hali imejirudia.