zubery360
Senior Member
- Apr 11, 2014
- 157
- 61
Mpk ss bado tyuuuu?yah m mwenyewe nlikua naogopa labda nmekosea
Mpk ss bado tyuuuu?yah m mwenyewe nlikua naogopa labda nmekosea
hiyo code ya mpesa utaiingiza kuna sehemu ya kuingiza before hujafanya wala kuanza kujaza chochote ukishaingia tu kwenye ukurasa wa olams ko we fungua iyo olams then ingia utaenda sehemu ya new applicant or register utaclick apo then direct kitakuja kipengele cha kuingiza hiyo mpesa code.ni rahis sana fanya ivo usijali nawasilishaasante sana mdg wangu hyo code ya Mpesa naiweka wapi?help me out pliiz
hiyo code ya mpesa utaiingiza kuna sehemu ya kuingiza before hujafanya wala kuanza kujaza chochote ukishaingia tu kwenye ukurasa wa olams ko we fungua iyo olams then ingia utaenda sehemu ya new applicant or register utaclick apo then direct kitakuja kipengele cha kuingiza hiyo mpesa code.ni rahis sana fanya ivo usijali nawasilisha

[QUOTE="mimi code znakataa kusoma toka janahiyo code ya mpesa utaiingiza kuna sehemu ya kuingiza before hujafanya wala kuanza kujaza chochote ukishaingia tu kwenye ukurasa wa olams ko we fungua iyo olams then ingia utaenda sehemu ya new applicant or register utaclick apo then direct kitakuja kipengele cha kuingiza hiyo mpesa code.ni rahis sana fanya ivo usijali nawasilisha
Umejarbu tena,leo? nahsi labda tatizo lilikuwa mtandao.ama vip useme wanakwmbia nin au ujumbe gani,inavokataa kusom wanakultea? then ndo twaweza elewa shida nin.[QUOTE="mimi code znakataa kusoma toka jana
thank u Ila hata hyo new applicant haiji au new register na ile OLAMS haifunguki kabisahiyo code ya mpesa utaiingiza kuna sehemu ya kuingiza before hujafanya wala kuanza kujaza chochote ukishaingia tu kwenye ukurasa wa olams ko we fungua iyo olams then ingia utaenda sehemu ya new applicant or register utaclick apo then direct kitakuja kipengele cha kuingiza hiyo mpesa code.ni rahis sana fanya ivo usijali nawasilisha
Kwani ukiingia wanakwambia nin hapo kwenye iyo post form four education? au wanaleta vitu gan au ni aifunguki?Nashukuru kwa msaada wenu your all greater thinkers sasa tatizo langu limebaki kwenye post form education bado cwaelewi
Naweka index namba yangu nasave neno save linaendelea kuwepoKwani ukiingia wanakwambia nin hapo kwenye iyo post form four education? au wanaleta vitu gan au ni aifunguki?
hiyo code ya mpesa utaiingiza kuna sehemu ya kuingiza before hujafanya wala kuanza kujaza chochote ukishaingia tu kwenye ukurasa wa olams ko we fungua iyo olams then ingia utaenda sehemu ya new applicant or register utaclick apo then direct kitakuja kipengele cha kuingiza hiyo mpesa code.ni rahis sana fanya ivo usijali nawasilisha
ishakubal leo nduguUmejarbu tena,leo? nahsi labda tatizo lilikuwa mtandao.ama vip useme wanakwmbia nin au ujumbe gani,inavokataa kusom wanakultea? then ndo twaweza elewa shida nin.
Sio sahihi sana- kwenye mambo hizi utasababisha kichwa kitoke kirefu balaa.... Maintain Aspect Ratio!! Adobe Photoshop at least can help!!Fanya hivi,
1-fungua picha,juu kabisa kwenye screen ya picha utaona open
2-click open,then click paint
3-ikifungua click resize,then pixel
4-click mshale wa chini ili namba zisiwe sawa then jaza 150,chini 120 halafu save
Uki upload lazima akubali for sure,nishamaliza step zote hizo
Unatakiwa kupunguza sana ukubwa wa Picha iwe ndogo sana, pixel150 x 120 maximum 1 mbJamani naomba msaada wa haraka jinc ya kuupload picha kwenye form za heslb kwa sababu tangu juzi nasumbuka naitaji nifahamishwe yafuatayo
1.aina ya picha inayoitajika kamani jpg, jepg, bmp png
2.ukubwa picha interms of width and height hapa naomba nifahamishwe vizuri kwani kuna vipimo vifuatavyo pixels, mm , cm na inches
Sasa naomba nijue vipimo vyake ili kuweza kuaploud kwa urahisi
3.naomba pia kujua back ground colour ya picha
4. Pia naomba kufahamishwa kila nikipiga picha masikio hayatoki sasa naweza kuaplod bila ya masikio kwani napiga cm kwa kutumia cm