hizo hapo bei za simu mbalimbali mkuu. kuna jamaa ana duka lake hapo dar kwa hiyo unaweza kufanya ulinganifu ili usipigwe sanaHabari wana jf, nimeagiza simu dar na anaenunua yuko dukani sumsung galax a5, nimtumie bei gani asije niingiza chaka maana jamaa ni mjanja janja sana
Inategemea ni ya mwaka gan.Habari wana jf, nimeagiza simu dar na anaenunua yuko dukani sumsung galax a5, nimtumie bei gani asije niingiza chaka maana jamaa ni mjanja janja sana
Si umwambie akuletee risiti ya kununuliaHabari wana jf, nimeagiza simu dar na anaenunua yuko dukani sumsung galax a5, nimtumie bei gani asije niingiza chaka maana jamaa ni mjanja janja sana
experia ipi sasa maana zipo matoleo kibaoMkuu na bei za sony experia ni sh ngapi