Msaada wa haraka: Nimeonja kitu ya A town

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Niko Hapa bonde la mkwajuni, nimepaki gari Nimeshindwa kuendelea na safari nilionja kitu ya Arusha hapo mtaa wa Wibu kinondoni kwa jamaa yangu

Sasa naona kama dunia inapinduka nk chini ya steering Natamani kupiga keleleeeeeeeee

SITANII nitapoza na nini? Kikiendelea hv nitaumb
 
Tafuta mua kula ndugu! Au juice yenye sugar sana!

Hahaha unaona mawingu yanashuka chini yanakubana nin?
 
Piga Fanta barridi fasta! Afu ukome kutest vitu visivyo vya mkoa wako!


Na iwe fundisho kwa watu wote wanaojifanya matester masters! PANA CHEZEIYA KITU CHA ARUSHA.

CC: Passion Lady.
 
Last edited by a moderator:
Tafuta mua kula ndugu! Au juice yenye sugar sana!

Hahaha unaona mawingu yanashuka chini yanakubana nin?
Du nikiwasha mucho kindogo .mmmnaogopa
 
Ongeza tena kete ya pili.

NB;
Dawa ya moto ni moto.
 
Dawa ya moto ni moto ongeza nyingine mkuu
 
kunywa safari lager huku ukifurahia Jagwa bila kusahau Chimbwanga na ule Mjani lager pembeni.
Nalog off
 


Umeshaondoka au mpaka sasa bado upo hapo Bonde la mkwajunk? Mi siku ya kwanza kuPuff hiyo kitu aisee Mjusi nilimuomba Mamba wacha nipige kelele. Lakini baada ya hapo ikawa poa tu. Alhamdulillah nimeacha now utu uzima umeingia.
 
Mbona Mimi ndo napita hapa'mbona sikuoni nikupapase
 
hahaha! umepiga maplanter. utaumia ndugu. achana na vtu vya hapa R-chuga ungaleloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…