msaada wa haraka ndoa inavunjika

msaada wa haraka ndoa inavunjika

msinisumbue ooh,sijui na contacts zake....

Nabii%2BFlora-CD%2BCover%2B10%2B02%2B2013%2BB.jpg

Dah wanja wa nabii Flora tu mie hoooi!
 
OUT OF TOPIC
Hivi nabii yupo? Naomba namba yke manake mwaka ulivoanza kama SIUELWI ELEWI! Kuna msela wangu alikuwa hana kazi kaenda kumuona nabii mara moja, tena ilibidi aende saa 9 usiku kuwahi foleni, wiki ndefu! Kapata BONGE LA KAZI!!!!!!!! Afu hajarudi tena. Nikimuomba namba ya nabii ANANIZEVEZA!

Please ni PM hiyo namba maana walimwengu nmewastahimilia sanaa wanataka kunipanda kichwani.

lara 1 hakuna haja ya PM mambo ni..... Tyta kaniwahi..... Teh teh

Cc. watu8 ......big please
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    288 KB · Views: 102
Last edited by a moderator:
ngoja ukipate cha moto kwanza ndio utajua uzinzi umekatazwa hata kwenye maandiko matakatifu!!!!!!!!!!
 
Kinacho nitokea saizi mpaka najuta Mimi Nina mke ila katika pitapita zangu nikakutana na kabinti kanasali kwa nabii flora nikakapenda nikawa natoka nako takrabani sasa miezi Saba sasa.
Majanga yaliyo nikuta napotaka kufanya mapenzi na mke Wangu mashine usimama na uwenda round moja tu tena na Mimi ndo uwai kufika kileleni yeye anakuwa bado nikisha maliza hapo mashine aisimami tena labda mpaka asubuhi.
Lakini cha kushangaza napomuona yule binti mwili Wangu utamani kufanya mapenzi na yeye name ikitokea Niko naye mashine usimama Vila shida name game Kama kawaida hata bao tatu mpaka nne nafikisha sasa nimeshinda kuelewa Kama kuna mtu hii hali imeshamtokea basi no vyema akanishauri nini nifanye na ukizingatia nimeshajaribu eti nimuache huyo binti imekuwa ngumu anakuwa name ushawishi wa halo ya juu Sana.
Tafadhali wa jf nisaidieni nifanye nini pia samahani kwa kutokuwa muaminifu kwenye ndoa yangu shetani alinizidi ujanja
yani tukushauri kungonoka? ulioa ili mfurahishe bibi ako , mbona unamkosea heshima mkeo ebbo
 
Kila kitu kwenye mwili wa binadamu huanzishwa na hisia. Hisia hizo ndo zilikufanya ukao, na hisia hizo hizo ndo zilizokufanya ukatoka nje ya ndoa. Sasa hapa kwanza unatakiwa kujijua mwenyewe, Je ulimuoa huyo mwanamke kwa shinikizo au ulimpenda ndo ukaoa, km ni shinikizo bac muache huyo mkeo na ukaoe hako katoto na uache kuzini, ila km ulimpenda mkeo na ukamuoa kwa mapenzi, bac mm nakushauri zirudishe hizo hisia zako kwa mkeo na hako katoto ukaache na utubu. Hisia unaweza kuzirudisha kwa njia nyingi, chunguza tatizo hasa lilianza wapi, km ni kwasababu mkeo amezaa na ameshafubaa basi nakwambia mwanamke hafubai, ila mwanamke ni matunzo, anza kumtunza mkeo mpeleke saluni mara kwa mara, mnunulie vinguo vya mitego, mpe makeup moto avutie watakavoanza kupiga misele wenzio ndo utakapoiona thamani yake na hisia zako zitaanza kurudi maana utamuona mkeo anaita vibaya, kingine jaribu kua na furaha nae, chezeni hata michezo ya kitoto tena kama mna watoto mnacheza wote, kimbizaneni, hii itarudisha hisia, pia kwenye tendo la ndoa mnaweza kubadili hata mikao na pia km mkeo mlikua mnaenda kimya kimya hlf huyo wa nje alikua anakupa maneno ya kuvutia bac usiogope kumwambia mkeo nae aongee ujinga huu unarudisha sn hisia, kingine kikubwa km unapiga puchu uache na pia ukiacha ngono nje basi uume wako utakua na nguvu, piga sn supu ya pweza, kula karanga, korosho, vitu vyte vyenye kurudisha nguvu za kula, piga zoezi hlf fanya tendo la ndoa ki afya zaidi, japo kwa wiki mara moja ikizidi mara mbili, usifanye kama juisi kila siku unataka, kua na mapumziko. sababu zpo nyingi ila kikubwa waza hv je mkeo angekua analiwa nje na mwanaume mwingine je ungefurahia? hakuna mwanaume anaefurahia, bac badilika. kila la heri
 
Kinacho nitokea saizi mpaka najuta Mimi Nina mke ila katika pitapita zangu nikakutana na kabinti kanasali kwa nabii flora nikakapenda nikawa natoka nako takrabani sasa miezi Saba sasa.
Majanga yaliyo nikuta napotaka kufanya mapenzi na mke Wangu mashine usimama na uwenda round moja tu tena na Mimi ndo uwai kufika kileleni yeye anakuwa bado nikisha maliza hapo mashine aisimami tena labda mpaka asubuhi.
Lakini cha kushangaza napomuona yule binti mwili Wangu utamani kufanya mapenzi na yeye name ikitokea Niko naye mashine usimama Vila shida name game Kama kawaida hata bao tatu mpaka nne nafikisha sasa nimeshinda kuelewa Kama kuna mtu hii hali imeshamtokea basi no vyema akanishauri nini nifanye na ukizingatia nimeshajaribu eti nimuache huyo binti imekuwa ngumu anakuwa name ushawishi wa halo ya juu Sana.
Tafadhali wa jf nisaidieni nifanye nini pia samahani kwa kutokuwa muaminifu kwenye ndoa yangu shetani alinizidi ujanja

Hapo ushalivaa tego hilo. Kakuendea kwa fundi huyo mwenzio. Tatizo lako huna msimamo. Huyo unosema mke unamtaka au humtaki? Kuwa mkweli. Kama unataka kula huku na huku kwa tego hilo habari yako ishamalizwa. Amua moja, ubaki kwa alokuwekea tego au uingie gharama uende kwa fundi ategue urudi kwa mkeo. Na ukome.
 
Baada ya kuharibu kwa kujitakia unafikiri kuna mtu atakusaidia? The choice is yours,,,,,,,drop her or potezea hm
 
Wengine wana sababu za kuwa walokole...including kuacha uchawi...labda bidada (kimada) ameamua kuirudia asili...umeshawekwa kwenye chupa kaka, uchomoki... unalo hilo...katafute mchungaji na wewe akusaidie kuomba (siyo akuombee maana kila mtu atajiombea mwenyewe)
 
Wewe huyo hawara ameishakumaliza huna ujanja wowote kama hutaachana naye maana huyo yupo kwa ajili ya kukuchuma wewe na kukuharibia ndoa yako ili yeye afaidi. Chukua hatua mapema lasivyo hata kwako hutapakumbuka na hata hilo bao moja hutaweza kupiga. Fanya fasta utoke ungali bado una akili ya kujitambua.
 
Tunaposema jukwaa la mapenzi, urafiki na mahusiano hatumaanishi kwamba tunathamini uzinzi!😡
 
Kwa kutambua kosa lako la kuvunja ahadi yako chukua hatua ya kuacha haraka. Usimuudhi muumba wako kwa kumfanyia hiana mwenzako was ujana wako hutafanikiwa.
 
Wake zetu hushindwa kuonesha majamboz wakishatuzoea mm hiyo nimekumbana nayo mara kibao nikienda kwa kadem kangu naweza piga hata bao sita lkn kwa wif maxmum 2! Na hamu kwisha kabisa! Madem wa nje wanajipanga vizuri unapompa appointment
Kinacho nitokea saizi mpaka najuta Mimi Nina mke ila katika pitapita zangu nikakutana na kabinti kanasali kwa nabii flora nikakapenda nikawa natoka nako takrabani sasa miezi Saba sasa.
Majanga yaliyo nikuta napotaka kufanya mapenzi na mke Wangu mashine usimama na uwenda round moja tu tena na Mimi ndo uwai kufika kileleni yeye anakuwa bado nikisha maliza hapo mashine aisimami tena labda mpaka asubuhi.
Lakini cha kushangaza napomuona yule binti mwili Wangu utamani kufanya mapenzi na yeye name ikitokea Niko naye mashine usimama Vila shida name game Kama kawaida hata bao tatu mpaka nne nafikisha sasa nimeshinda kuelewa Kama kuna mtu hii hali imeshamtokea basi no vyema akanishauri nini nifanye na ukizingatia nimeshajaribu eti nimuache huyo binti imekuwa ngumu anakuwa name ushawishi wa halo ya juu Sana.
Tafadhali wa jf nisaidieni nifanye nini pia samahani kwa kutokuwa muaminifu kwenye ndoa yangu shetani alinizidi ujanja
 
Kinacho nitokea saizi mpaka najuta Mimi Nina mke ila katika pitapita zangu nikakutana na kabinti kanasali kwa nabii flora nikakapenda nikawa natoka nako takrabani sasa miezi Saba sasa.
Majanga yaliyo nikuta napotaka kufanya mapenzi na mke Wangu mashine usimama na uwenda round moja tu tena na Mimi ndo uwai kufika kileleni yeye anakuwa bado nikisha maliza hapo mashine aisimami tena labda mpaka asubuhi.
Lakini cha kushangaza napomuona yule binti mwili Wangu utamani kufanya mapenzi na yeye name ikitokea Niko naye mashine usimama Vila shida name game Kama kawaida hata bao tatu mpaka nne nafikisha sasa nimeshinda kuelewa Kama kuna mtu hii hali imeshamtokea basi no vyema akanishauri nini nifanye na ukizingatia nimeshajaribu eti nimuache huyo binti imekuwa ngumu anakuwa name ushawishi wa halo ya juu Sana.
Tafadhali wa jf nisaidieni nifanye nini pia samahani kwa kutokuwa muaminifu kwenye ndoa yangu shetani alinizidi ujanja
DR Nina Wallerstein, mtaalam wa saikolojia ya ndoa na makuzi ya kijamii amewahi kuandika katika kitabu chake cha vipaji 9 vya kisaikolojia alivyoumbwa navyo mwanamke kuhusu talaka za kihisia,kitendo cha wewe kuisaliti ndoa yako kwa kukubali kutoka na hako kamalaya kako ina maana ulidhamiria katika ambitions zako na kujiambia mkeo humtaki...unataka mbadala....hajui mapenzi...nk,kumbuka miili yetu inapokea kile kinachotoka katika hisia zetu,ukiwekeza mapenzi ya ukweli na dhati hakika nakuhakikishia utakuwa na uwezo wa kumgonga mkeo si chini ya mara tano per nyt,lakini kwa sababu ushampa talaka ya kihisia hata hiyo mara moja per nyt itapotea baada ya siku chache zijazo,rudi kuwa wewe na achana na nyumba ndogo-huku kenya tunaita mpango wa kando.itakuletea balaa na kusambaratisha familia.

CC: THE BIG SHOW
 
Wake zetu hushindwa kuonesha majamboz wakishatuzoea mm hiyo nimekumbana nayo mara kibao nikienda kwa kadem kangu naweza piga hata bao sita lkn kwa wif maxmum 2! Na hamu kwisha kabisa! Madem wa nje wanajipanga vizuri unapompa appointment

Na mkeo nae atatafuta serengeti boys basi kwisha habari yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom