Sir Lugoje
Senior Member
- Jan 9, 2014
- 169
- 54
Umeshajitambua umekosea wapi, kifuatacho ni nia yadhati kutubu nakuacha..uzinzi mwiko kaka!
Mimi kinachoniumiza ni kuwa addicted na machangudoa, kuwaacha nimeshindwa, maombi tafadhali
OUT OF TOPIC
Hivi nabii yupo? Naomba namba yke manake mwaka ulivoanza kama SIUELWI ELEWI! Kuna msela wangu alikuwa hana kazi kaenda kumuona nabii mara moja, tena ilibidi aende saa 9 usiku kuwahi foleni, wiki ndefu! Kapata BONGE LA KAZI!!!!!!!! Afu hajarudi tena. Nikimuomba namba ya nabii ANANIZEVEZA!
Please ni PM hiyo namba maana walimwengu nmewastahimilia sanaa wanataka kunipanda kichwani.
Koma kumwambia mwenzako mtenda dhambi. Wewe ni malaika? Toa ushauri. Afanye nini?
nakemea pepo la uzinzi toka toka huna mamlaka na mwili wa mwanaume huyu .... nakuamuru toka mrudie yule binti nailii yake ife ganzi naaikimwona mkewe isimame mpaka asubuhi amen.....
....
.... chukua pilipili ponda ponda changanya na maji...then tawazia EXIT HOLE....