Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,979
- 2,995
trust me ukishaanza kupiga nje, ndani huwezi tena, wanaume wengi wagonga nje huko nje huwa wana-perform sana but ndani ni zero! kama wataka kurudia kiwango chako acha kupiga nje!
Mwanamalundi mambo heri ya mwaka mpya mkuu wangu long time sanaKoma kumwambia mwenzako mtenda dhambi. Wewe ni malaika? Toa ushauri. Afanye nini?
yupo facebook kajaa teleOUT OF TOPIC
Hivi nabii yupo? Naomba namba yke manake mwaka ulivoanza kama SIUELWI ELEWI! Kuna msela wangu alikuwa hana kazi kaenda kumuona nabii mara moja, tena ilibidi aende saa 9 usiku kuwahi foleni, wiki ndefu! Kapata BONGE LA KAZI!!!!!!!! Afu hajarudi tena. Nikimuomba namba ya nabii ANANIZEVEZA!
Please ni PM hiyo namba maana walimwengu nmewastahimilia sanaa wanataka kunipanda kichwani.
yupo facebook kajaa tele
ulijuaje kakatrust me ukishaanza kupiga nje, ndani huwezi tena, wanaume wengi wagonga nje huko nje huwa wana-perform sana but ndani ni zero! kama wataka kurudia kiwango chako acha kupiga nje!
labda usaliti wako unasababisha ukiwa kwa mkeo uwe na hofu mpaka mashine inashindwa kuperform.
OUT OF TOPIC
Hivi nabii yupo? Naomba namba yke manake mwaka ulivoanza kama SIUELWI ELEWI! Kuna msela wangu alikuwa hana kazi kaenda kumuona nabii mara moja, tena ilibidi aende saa 9 usiku kuwahi foleni, wiki ndefu! Kapata BONGE LA KAZI!!!!!!!! Afu hajarudi tena. Nikimuomba namba ya nabii ANANIZEVEZA!
Please ni PM hiyo namba maana walimwengu nmewastahimilia sanaa wanataka kunipanda kichwani.
Nibii Floooraaaa
Kinacho nitokea saizi mpakanajuta Mimi Nina mke ila katika pitapita zangu nikakutana na kabinti kanasali kwa nabii flora nikakapenda nikawa natoka nako takrabani sasa miezi Saba sasa.
Majanga yaliyo nikuta napotaka kufanya mapenzi na mke Wangu mashine usimama na uwenda round moja tu tena na Mimi ndo uwai kufika kileleni yeye anakuwa bado nikisha maliza hapo mashine aisimami tena labda mpaka asubuhi.
Lakini cha kushangaza napomuona yule binti mwili Wangu utamani kufanya mapenzi na yeye name ikitokea Niko naye mashine usimama Vila shida name game Kama kawaida hata bao tatu mpaka nne nafikisha sasa nimeshinda kuelewa Kama kuna mtu hii hali imeshamtokea basi no vyema akanishauri nini nifanye na ukizingatia nimeshajaribu eti nimuache huyo binti imekuwa ngumu anakuwa name ushawishi wa halo ya juu Sana.
Tafadhali wa jf nisaidieni nifanye nini pia samahani kwa kutokuwa muaminifu kwenye ndoa yangu shetani alinizidi ujanja
Mwanamalundi mambo heri ya mwaka mpya mkuu wangu long time sana