RWEYONGEZA MUTTA
Member
- Oct 12, 2012
- 52
- 10
Acha uswahili ndg,yangu dawa ya deni ni kulipa na sio kubadili njia!
Hata kama hapo lazima equit iwe juu ya sheria kaka kama anasababu za msingi za kujieleza zilizo mfanya ashindwe kulipa on time anayo haki ya kubadili terms za mkataba ili kuweka a smooth running of the xontractuala performance. Na sio mtu kwakuwa kajicomit kwenye mkataba basi mtu mwingine achukulie hicho kigezo kama njama ya kulazimisha malipo yenye faida zisizo stahili. Fadhili ananamna ya kuheshimiwa kushindwa kwake. Lazima haki itendeke. Na kuhusu kifungo huwa kuna civil imprisonment but its done so rarely. Mara nyingi wata attach properties zako kufidia deni km huyo mkopeshaji atashinda.