Msaada wa haraka madaktari, hili ni balaaa!

Wewe umepatwa na ugonjwa uitwao Psychic diarrhea.Umesha wahi kumuona ng'ombe akipelekwa mnadani au machinjioni wanavyo harisha? basi hiyo condition ndiyo na wewe imekupata. Chakufanya Kunywa vidonge 2 vya septrine (cotrimoxazole) tu hiyo hali within 30 minutes huta harisha. Pia beba kwa dharula vidonge vingine 2 vya septrine wakati unaendelea na hicho kikao chako. FANYA SASA HIVI KAMA HIZO DAWA ZINGINE ULIZOSHAURIWA HAUJAZIMEZA. Septrine ni dawa nzuri kwa kuzuia kuharisha kwa watu wenye Psychic diarrhea. Pole sana. Ukitaka maelekezo mengine ya kupunguza hiyo stress sema tukusaidie ila ni PM.

Mkuu asante sana, nimegundua kuwa jana jioni nilikula supu kwenye mgahawa mmoja pale posta, na haikuwa na kiwango stahiki nahisi ndio sababu.

Nashukuru nimetumia hiyo njia ya kunywa maji ya mto yenye chumvi, nikanywa flajili.

Hakika sasa angalau nakwenda chooni baada ya saa moja,

Daaah ulikuwa mtiti kwelikweli
 
naungana na mchangiaji aliyesema una psychic diarrhoea(tension diarrhoea) mara nyingi inakuwa ni self limiting inakwisha yenyewe once tension is over but septrin is the good choice for starting but am sure once you over with that meeting and diarrhoea will be the history. pole sana ndugu
 
rahis kabisa hii imenitibu mm jana na najuta kutumia hela nyingi:
1.KUNYWA MAJI YA BARIDI SAAAAAANA.
2.TAFUTA BARAFU AU MAJI YA BARIDIII SAAANA OGA.
Kwisha kabisa na huta amin macho yako.
 
huyu jamaa anataka kutatua tatizo in one/two hours wewe unampa solution ya wiki nzima

achaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Loperamide kazi yake ni kupunguza GI motility lakini kama cause ni bacteria inamaana watabaki mwilini ambapo baadaye atakuja kupata maambukizi ya bacteria yatakayosambaa mwili mzima kwenye damu tunaita septicemia. Loperamide ukinywa tu diarrhea yote kwishney hapohapo lakini hizi ni risk zake. Sasa kwa mtu anayekwenda kwenye kikao hii ndo inamfaa zaidi, nimepitia thread zote hizo sijaona aliyemwandikia dawa ya kustop immediately. Mfano wametoa fragil hii inatumika zaidi kwa amoeba na anaerobic bacteria ambao kwa diarrhea yake hakuna aliyesababisha, bacteria wake wanarespond vema kwa erythromicin, ciprofloxacin, na septrine lakini zote hizi zitahitaji atumie na ORS hivyo diarrhea yake haitarespond haraka. Lakini pia kwa hizi dawa atatakiwa kunywa more than 5 days ili kuzuia asipate bacteria resistance. Naongea haya nikiwa najua nini nakifanya. Kwa wewe au ninyi lay man mmeza kuwa ukiwa na diarrhea basi dawa yake ni fraggil au metronidazole, kila dawa hutolewa kwa kujua nini inatibu. Dawa ya kustop diarrhea immediately ni loperamide tu, hebu Google uone kazi zake. Acha siasa wabongo bwana every corner you want politics sasa mpaka mmemptosha mgonjwa masikini, yawezekana bado akasumbuka kwenye kikao na excuses kibao
 
Back
Top Bottom