Msaada wa haraka kwa wakazi wa morocco

Msaada wa haraka kwa wakazi wa morocco

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Wakuu naomben msaada wa kupewa jina ya lodge au hoteli iliyopo maeneo ya morocco kino, na mgeni wangu inabd afikie maeneo haya. Bei isizid 50k per night, iwe nahadhi nzuri.

Ahsanteni
 
Ungesongea kidogo manzese!faida ya kwanza ni karibu na mabasi ya mikoani na town pia,pili 50k unalipia gest 2weeks ukienjoy na mtoto wa mikoani
 
Manzese wapi mwambie arudi tu magomeni hapo analipa 20 yake burudani maisha yanaendelea morocco atapasuka huko
Ungesongea kidogo manzese!faida ya kwanza ni karibu na mabasi ya mikoani na town pia,pili 50k unalipia gest 2weeks ukienjoy na mtoto wa mikoani
 
huyo mgeni kama ni wa kike mwabie namkaribisha kwangu
 
Mtu kaomba kujua zinakopaki taxi, mabaharia mnamuelekeza kwenye vituo vya mwendokasi.
Kubaniana riziki tu huko.
Oya babu, nyuma ya mjengo wa airtel kuna kitu standard kipo kimetulia utakipenda.
Full AC, breakfast, tv, simu, totoz nn, wewe tu.
 
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom