Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,985
habari zenu! wanaJF
Leo kwa mara ya kwanza ndio na post kwenye hili jukwaa! uwa napita tu,sababu mambo yangu ya mahusiano yalikuwa shwari mpaka jana usiku nilivyoanza kuhisi nina matatizo makubwa!
nina mchumba wangu ambaye tangu tuanze mahusiano tulipanga kuanza kufanya mapenzi mpaka tutakapo halalishwa yaani kufunga ndoa(kwa kifupi mimi nimelelewa mazingira ya kidini sana), na matarajio yetu yalikuwa tuoane dec 2014, mimi ni mtumishi wa umma nipo dar na yeye yupo sekta binafsi alikuwa nje ya dar! sasa nikamshauri arudi DAR,kwa ajili ya kujiendeleza kielimu ,alikubali na anaendelea na shule, sasa jana usiku kanipigia simu analia eti hawezi kusubiri muda wote huo anataka tuanze kufanya mapenzi sasa hivi na anadai weekend hii lazima alale kwangu!kwani amechoka kuumia kwa muda mrefu kaamua kuwa mkweli?
hili jambo linaanza kunitia mashaka kama kweli hapa patakuwa na ndoa imara maana hana uvumilivu kabisa,au kunakuzinguana na kutokana na imani yangu pamoja na malezi niliyokulia siwezi kumkubalia kufanya huu upuzi kabla ya wakati!
mpaka sasa nataka nimkalishe chini hiyo siku atakayo kuja na kama akishindwa kunielewa ni bora huo uchumba ufe kabisa japo uwa anajifanya kulilia na kudeka ukimuuzi kidogo
naomba mawazo yenu wanaJF Lakini yawe yakujenga sio utani na kashfa!
nawasilisha
thanks !kaka hilo nalo neno maana siku hizi simuelewi elewi huyu mtoa thread uwaanashinda siasani leo mmu inaonekana yamemsibu!Yaani leo ni March 2013, aendelee kusubiri mpaka Dec 2014 ndio aendelee kupata utamu wa mshadede? Mbona unatesa mwenzio? Mpe kitu roho inapenda. Ina maana na wewe bado bikira pia? Hujawahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote? On a serious NOTE: Be very careful, usijekuta kashanasa mimba huko, sasa anataka kukulazimisha mfanye mapenzi ili akuchomekee akwambie hiyo mimba ni yako!
habari zenu! wanaJF
Leo kwa mara ya kwanza ndio na post kwenye hili jukwaa! uwa napita tu,sababu mambo yangu ya mahusiano yalikuwa shwari mpaka jana usiku nilivyoanza kuhisi nina matatizo makubwa!
nina mchumba wangu ambaye tangu tuanze mahusiano tulipanga kuanza kufanya mapenzi mpaka tutakapo halalishwa yaani kufunga ndoa(kwa kifupi mimi nimelelewa mazingira ya kidini sana), na matarajio yetu yalikuwa tuoane dec 2014, mimi ni mtumishi wa umma nipo dar na yeye yupo sekta binafsi alikuwa nje ya dar! sasa nikamshauri arudi DAR,kwa ajili ya kujiendeleza kielimu ,alikubali na anaendelea na shule, sasa jana usiku kanipigia simu analia eti hawezi kusubiri muda wote huo anataka tuanze kufanya mapenzi sasa hivi na anadai weekend hii lazima alale kwangu!kwani amechoka kuumia kwa muda mrefu kaamua kuwa mkweli?
hili jambo linaanza kunitia mashaka kama kweli hapa patakuwa na ndoa imara maana hana uvumilivu kabisa,au kunakuzinguana na kutokana na imani yangu pamoja na malezi niliyokulia siwezi kumkubalia kufanya huu upuzi kabla ya wakati!
mpaka sasa nataka nimkalishe chini hiyo siku atakayo kuja na kama akishindwa kunielewa ni bora huo uchumba ufe kabisa japo uwa anajifanya kulilia na kudeka ukimuuzi kidogo
naomba mawazo yenu wanaJF Lakini yawe yakujenga sio utani na kashfa!
nawasilisha
Haya tumekuelewa
ila huo sio mpango wa MUNGU sex before marriage!Anataka ajihakikishie kama mtibwa yako inatoa sukari