0768628314
Member
- Apr 22, 2019
- 44
- 95
Habarini wana jamvi. Naomba msaada kwa wataalamu wa magari. Nina gari yangu Brevis 1JZ ina tatizo la kuchemsha. Yaani, unaweza tembea hata kilometa 20 za mwenda wa kawaida tu, mshale wa hit unapanda sana, kupelekea taa ya "Check Engine" kuwaka. Lakini ukiwa kwenye mwendo mkali, mzunguko wa weni ukiiongezeka, mshale unadeshishuka na taa ya "Check Engine" inazima. Lakini ukipunguza mwendo, taa ya "Check Engine" inawaka. Sasa sijui nifanyeje.
Mafundi wamegusa kila kona, hadi kubadili gasket, lakini bado hakuna majibu. Wanadai gari haina viashiria vya kuchemsha. Hata paipu ya maji kupeleka kwenye injini ipo sawa, lejeta ya maji iko kwa hali nzuri.
Hisia zao zinadai dashbord ilichezewa, na wakati ikirudishiwa, mishale ilikaa sehemu si sahihi. Naombeni msaada. Nimepeleka sehemu moja kupima kwenye mashine, jamaa anayepima akadai mashine haisomi, mfumo wake umechezewa. Sasa sijui nifanyeje.
Wataalam, msaada.