Habari wadau. Ninatumia accer aspire 5250BZ467. Hii laptop ukiwasha inatoa mlio mkali sana, ukiizima Kisha ukiwasha tena baada ya muda ndio inawaka. Vilevile Mara nyingi namba '7' hujiandika yenyewe bila mimi kuandika nikiwa na type hata sehem ya kuandika password saa ya Ku log in computer. Ni tatizo kama la mwezi hivi.. Anayejua tatizo ni nini anisaidie please. Thanks in advance