Msaada wa haraka katika suala hili..

Msaada wa haraka katika suala hili..

gidume

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
743
Reaction score
916
Kuna application zimetoka mahali sa jamaa yangu anataka kuapply ila anashidwa sbb ya cheti chake cha form 4 kimepotea.ila vya form six,chuo vyote vipo na qualifications nyingine pia .ivi inakuaje apa wajuvi wa mambo..ushauri unahitajika wa chakufanya ili atimize tamanio lake..
 
Hapa lazma aripoti kule necta kama ni kweli watampa barua ya utambulisho itatumika badala ya cheti
 
Cheti cha fom four kinaumuhimu wake mkuu... Kuliko hata hivo vingine
 
Hapa lazma aripoti kule necta kama ni kweli watampa barua ya utambulisho itatumika badala ya cheti
Sawa mkuu..asante kwa ushauri..je akienda wizara ya elimu lifanyiwa kazi.? Maana yupo mkoani
 
Mmmh! Kwa hapo sifahamu labda ajaribu.
Ila mtu aliyefanya hiyo njia niliyoshauri hapo juu alikiwa yupo dar
 
Back
Top Bottom