nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,504
- 3,402
- Thread starter
- #21
AsanteKua makini 🙏
AsanteKua makini 🙏
Ndio maana nimepiga maswali anajibu kama siamini niende ofisinKama hujuwan na mtu na hauna uhakika wa kukutana naye mkakagua usalama wa fedha zenu
Usikubali ujinga unaoitwa M koba utalizwa vibaya mno
😂😂😂Hakuna siku wajinga wataisha bongo mazeee
Kwenye mitiHakuna siku wajinga wataisha bongo mazeee
Fursa hy ichangamkie boss, mm mwnyw napiga sana pesa hukoMnanitisha wakuu
Sasa matapeli wakale Wapi na wanafamilia?Hakuna siku wajinga wataisha bongo mazeee
Dah video yenyewe nilikuwa sijaona😂😂Video yenyewe tu AI
Hapo vipFursa hy ichangamkie boss, mm mwnyw napiga sana pesa huko
AiseeUtapigwa katafunua.
Mkuu bure ipo wap?Hakuna hela ya bure.
Yah sahihi kabisa japokuwa mchezo umeshaanza tupo kama 150 hv, mm nmepokea Pesa yangu Mwezi uliopita.Hapo vip
NoYah sahihi kabisa japokuwa mchezo umeshaanza tupo kama 150 hv, mm nmepokea Pesa yangu Mwezi uliopita.
Nawe jiunge pia mkuu
Kwann hutak mkuu, pesa ipo na usalama n 100%
Unataka nitapeliweKwann hutak mkuu, pesa ipo na usalama n 100%