Msaada wa haraka jamani kwenye hili.

Msaada wa haraka jamani kwenye hili.

Hatujuwani

Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
51
Reaction score
10
Mimi ni around 23-26years old, hivyo basi katika kukuwa kwangu sijawahi kutumia kilevi chochote mpaka sasa, ila katika maisha yangu niliwahi kuwa na ndoto ya kuja kuvitumia hivyo vitu, Sasa naona huu ndo muda wa kuanza kuvitumia, Nafanya hivyo kupunguza msongo wa mawazo niliyonayo kutokana na serikali mbovu iliyoko madarakani ili kusogeza siku.

Hivyo waungwana naomba msaada ni MVINYO/BEER gani nzuri kwa mimi ninaetaka kuingia kwenye chama nianze nayo????? ................msaada please ikiwezekana nianze leo leo.
 
Tafuta mashairi ya Mr.Ebbo ya wimbo wa SITAKI tena pombe
 
Achana na pombe wewe gonga kitu bhange. Hata mkuu wa kaya utamuona mdogo ka mtoto wa chekechea.
MUHIMU :
Acha usia mapema kwamba ukiranduka kimoja wasikupeleke milembe.
...HAPO HAUTASIKIA STRESS TENA !
 
Kwa jinsi ninavyokuona kwenye avatar yako sikushauri hata unywe pombe
 
Pombe haiondoi stress & itakuongezea stress coz kuna wenzako wamekuwa slaves wa pombe na wamejaribu kuacha wameshindwa.
"SIMBA ANAKIMBIA MSITU WEYE SWALA UNANGOJA NN?"
Dont u even try 2 think of dat stuffs.
 
Maskini mpe pombe anywe alewe asahau shida zake,
 
Kila kitu kibaya kama ukizidisha kipimo. Ila kwa ushauri wangu bugia tu cocaine kama wasanii wa fleva ama vuta tu dude.
 
Anza na pombe za kienyeji polepoleee......jipime uwezo wako......halafu tujulishe unavyojisikia ili tuone tukushauri unywe bia gani.
 
pata sweet wine, mayb dompo,ni nzuri n a product of tanzania,,, but nikushauri, ''kunywa kwa kipimo'' too much of anything is harmful... ''1 DRINK IS HEALTHY''
 
Tingisha kitu cha VALUE mwanangu utajickia pouwa kinoma.
 
Back
Top Bottom