Sio ugomvi kaka, tuelimishane tu. kuwa log base 10 sidhani kama ni ishu, hata kama ingekuwa base 2 as long both logs on both sides have the same base.
kwa jinsi ninavyoona hapo hizo log umezicancel hapo kama number, kitu ambacho sidhani kama ni sahihi kwenye sheria za log. ndio mana nikaomba, kifupi sijawahi kuona hiyo kitu.
kama una uwezo zaidi wa kunieleza hiyo sheria nitashukuru. sidhani kama kwenye vitabu ipo.
Hapo mie naona kama niko gengeni nanunua nazi, mwe!
jamani sio ugomvi mpendwa wangu, halafu mimi sio kaka. Log base 10 huwa ni moja. Na ndio maana mwanzo wa calculation tuliapply log base 10. Moja ukizidisha kwa namba yoyote jibu huwa ni hiyo namba. Ukiona imeandikwa log na chini hujaekewa base ujue hiyo ni log base 10. Jaribu kuulizia ulizia kwa watu ila i hope nimekupa mwanga kidogo.
[h=1]SOLUTION: 1. 4x+3y=1, x=1-y 2. 2x-y=6, -x+y=-1 3. 6x-y=3, 4x-2y=-2 4. 2x+3y=7, x=1-4y 5. 2x+3y=6, x-3y=-15 6. 7x-5y=4, y=3x-4 7. 2y-5x=-1, x=2y+5 8. 4x+3y=1, 3x+4y=10 9. 6x-5y=3, 4x+[/h]Wale wataalam wa hesabu hebu nisaidieni namna ya kusolve hii haraka, nimejaribu njia zote nimeshindwa (Log... etc), sasa sijui ni uzee unanisumbua!!
2[SUP]x[/SUP]=4X
The answer is 4, sasa tatizo ni namna ya kuipata hiyo 4.
2^x =4x......log
log2 ^x=log4x.
Xlog2=log(2^2)X.
Xlog2=log(2^2)+logX.
Xlog2=2log2+logX
logX=Xlog2-2log2
logX=(X-2)Log2
X=(X-2)2
X=2X-4
4=2X-X
X=4.
Hizi ngoma nilikuwaga vema sana, tatizo ni hizi shule za kufanyia mitihani huwezi amini ngoma imekataa kabisa shiiit. Alafu leo hii nipo kazini kwasababu nilifanya vizuri katika masomo yangu
Hizi ngoma nilikuwaga vema sana, tatizo ni hizi shule za kufanyia mitihani huwezi amini ngoma imekataa kabisa shiiit. Alafu leo hii nipo kazini kwasababu nilifanya vizuri katika masomo yangu
Samahani sana dadangu mpendwa. nashukuru sana umenipa mwanga, ni kijana (mtoto) wangu mmoja amenitumia hiyo hesabu na kwamba nikishinndwa nimpe hela (huwa tunashindana). sasa najua kabisa atanibana kwenye maswali kama hayo nikirudi nyumbani. ulivyonitumia hiyo soln ilibidi nichekicheki vitabu hapa lakini havisemi kitu kama hicho.
Kitu ulichosema hapo ninavyojua ni kwamba Log[SUB]10[/SUB]10 ndio moja, sasa kwa case yetu hiyo red 10 haipo, itakuaje moja!!
kaka upo sahihi hapo. Aisee hesabu ukiitupa na yenyewe inakutupa.
Fanya hivi, ukifika kwenye;
logx=log2(x-2) gawanya kwa log2(x-2) kila upande.
Utapata logx/log2(x-2)=1
hiyo log iandike katika mfumo wa log ambapo base yake itakuwa ni 2(x-2) halafu ibadilishe katika exponential form. Utapata jibu hapo.
Asante sana dadangu mpendwa. we ni noma!. ubarikiwe sana. nadhani na watu wengine humu watakuwa wamejikumbusha vizuri hizi hesabu.
Jamani tusisahau hesabu kama hizi, kumbuka we ndio mwalimu wa kwanza kwa mtoto wako, ni aibu sana mtoto wako anakuomba msaada halafu wewe unaanza kuwa mkali au unajifanya upo bize. wakati ulishajitamba sana ulikuwa kipanga enzi zako.
Huwezi pata jibu by using log in that. Hilo jibu la 4 umelipata by inspection, and that is the only way to state as answer.
nimependa utaratibu wako na mwanao. Hongera sana. Wengine wazazi wetu walikuwa wanajua kulipa ada tu na mahitaji mengine hata siku moja haiuliziwi daftari wala report.
Asante sana dadangu. mi kijana wangu awali nilikuwa namdanganya na hela kidogo akiweza kupata swali, sasa amekuwa akijitahidi kufanya maswali ili apate hela, sasa sasahivi tumewekeana utaratibu wa kupeana maswali na kwamba mtu akishindwa swali la mwenzake basi anampa hela mwenza tumepanga 2000Tsh kwa kila swali, sasa amekuwa akijitahidi kutafuta maswali ili mi nishindwe nimpe hela, katika kufanya hivyo nashukuru Mungu amekuwa mzuri sana kwenye hesabu mpaka mi mwenyewe namuogopa. kwahiyo ndio umekuwa mchezo wetu huo na umetufanya tuwe karibu sana.
2^x =4x......log
log2 ^x=log4x.
Xlog2=log(2^2)X.
Xlog2=log(2^2)+logX.
Xlog2=2log2+logX
logX=Xlog2-2log2
logX=(X-2)Log2
X=(X-2)2
X=2X-4
4=2X-X
X=4.