Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,050
- 3,611
Wakuu nilishawahi ona thread yenye software na keys zake. Kama kuna mtu anaikumbuka naomba anipe link yake ...nilikuwa natafuta antivirus software haraka iwezekanavyo!
Wakuu nilishawahi ona thread yenye software na keys zake. Kama kuna mtu anaikumbuka naomba anipe link yake ...nilikuwa natafuta antivirus software haraka iwezekanavyo!
thanks mkuu!
jaribu ku disable automatic updates au kama una net yenye nguvu update window ikisha kuwa poa itakuwa fastNami naomba kama kuna mtu alifanikiwa kuongeza speed internet kwenye kompyuta yenye Window 7 operating system anisaidie hili li laptop limekuwa slow mithili ya kinyonga