Msaada wa graphics sotware na tutorial notice zake

Msaada wa graphics sotware na tutorial notice zake

LuisMkinga

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
3,394
Reaction score
6,550
habari wanajamvi. mie nina ujuzi kdogo wa computer. ila shida yangu ni kutengeneza vitu ama maandishi yenye ubora mzuri zaidi. nimejaribu kwa kutumia powerpoint and office picture management tools naona shida yangu ipo pale pale. sasa msaada wa software na practical notice on how to use it.

shida yangu haswaa ni kutengeneza neno na lile neno liwe (animated/coloured with TZ flag au nembo ya taifa au picha yeyote. natanguliza shukran
 
njia rahisi ndefu ni kutumia photoscape unatengeneza image nyingi unaziunganisha pamoja. ni software ya bure just google.

software kama adobe after effect unatengeneza animation nzuri sema inahitaji knowledge kidogo.

kuhusu tutorial kwa experience yangu mimi mtu anaepewa tutorial mara nyingi hajifunz sana. anaejua sana ni yule anaetafuta tutorial specific za kitu anachofanya.
 
Hapo umegonga kwenye msumari.
 
Back
Top Bottom