Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,494
- 55,450
Umenikumbusha few years back nlkua natamba na Volkswagen Polo GTI..mnyama..ebwana eee alivoanza kunitia wenge...ilikua unafixi hiki kinazingua hiki, leo imezima..kesho haiwaki..ita mafundi wote mpaka wale wanaosifika ila wapii...mjerukani akianza wenge lake ni kama mtu yuko possesed with evil spirits..imenilaza porini mara 3..hainaga comeback na spea very expensive mpaka na mie nkawa fundi....ilifika mahala nkakata tamaa nkaiacha iozee uani tu..nkanunua mnyama crown athlete ya 2006 cc3000... amani nlioipata pale sio ya kifani nkaitumia miaka 3..nkahamia grs 200 ya 2009.. amani nnayoipata siwez hama crown leo wala kesho. Mjerumani sitaki hata kumskia
Mwanangu mmoja alkua na audi A4 nae same story ..akahamia huku crown hataki kumskia mjerumani
Nilichojifunza mjerumani ni mtamu sana tena sana... ila agiza japan tumia miaka miwili au mitatu kabla haijaanza wenge temana nalo vuta mwingine tena
Ila akina sisi unaagiza japan unakaa nalo miaka 5 au zaidi likianza mapicha picha unaeza kuwa kichaq
Kweli hio ngumuNishaacha ku deal na new Gen car owners. Wajuaji. Mtu anataka vitu bei rahisi halafu genuine(kwahio wanabaki kuuziwa box lenye nembo) hawa wanawezana wenyewe ndio maana unawaona humu wakilialia wakishaumizana.
Wateja wa spare za gari ndogo ni wasumbufu kama watoto wa chekechea. Mtu anakuja na bei yake kichwani, mimi siku hizi naona bora trucks na mitambo watu wanaelewa nini wanataka.Nishaacha ku deal na new Gen car owners. Wajuaji. Mtu anataka vitu bei rahisi halafu genuine(kwahio wanabaki kuuziwa box lenye nembo) hawa wanawezana wenyewe ndio maana unawaona humu wakilialia wakishaumizana.
Gari za mjerumani ziko complicated. Anacomplicate mambo kupata perfomance and efficiency ila anasababisha many breaking pointsTop of that mjapan qna spares everywhere not hard na complex to fix, mjeruman on the otherside ni changamoto
Mafundi wapiga ramli wanakera sana, mi niliwahi nunulishwa gearbox kumbe shida ni control box 😢
Mkuu mimi niliwahi nunulishwa vifaa almost milion na upuuzi pale gerezani haki kumbe shida ni plugs tu.... Na hizo plugs baada ya kujua ni shida nilinunulishwa kila aina ya plug. Kuna fundi alisema ni gearbox kidogo ninunue gearbox nyingine kumbe shida sio gearbox ni hizo hizo plug gari inatetemeka kama inakataa gear. Na hao ni mafundi wa garage maarufu hapa dar.
Fundi anaweza kufanya gari uichukie anakutia hasara na wala hajalim
Yes mkuu wale watoto wagereza wanatumia tusi kurefer hiyo hali. Mafundi wapuuzi sana wanaweza kukufanya ulichukie gari😂😂😂😂 gari inatetemeka km ina kifafa?
Tanzania Kuna waganga wa gari na sio mafundi wa gari.
Japo Mimi Sina hata baiskeli na naishi kwa mama
Zamani nilikuwa nikitengeneza gari yangu pale, Ni wazuri ila kwa sasa naona kama lile eneo halipo tena.Huwa naona landrover, benz na bmw nyingi pale Keko / kurasini nafikiri ni mafundi wazoefu.
Kimara stop over ile service road ya upande wa kuja mjini baada ya kuvuka kituo cha mafuta na kabla ya kufika kimara mwisho, mkono wa kushoto huwa kuna jamaa anatengeneza benz na bmw, nazionaga nyinginyingi pale.
Mikocheni, kuna yule jamaa anaitwa Jesse (Automax garage) nae huwa nasikilia yuko poa.
Mark x, crown, benz na nyingine nyingi tu hazinaKuna gearbox hazina dipstick.
Kila la kheri boss!! Siku nikinunua ki IST mwakani nitakuchekiFundi nipo hapa, leteni hizo gari zenu niwatengenezee, bei ni rafiki kabisaa,
Seriously!!
Saizi wamesogea karibu na Kiwanda cha chai Relini na Pentagon Bar, Labda useme baadhi ya wakongwe baadhi wameondoka ila mafundi wazuri bado wapo mitaa ile.Zamani nilikuwa nikitengeneza gari yangu pale, Ni wazuri ila kwa sasa naona kama lile eneo halipo tena.
Songea mna ofisi kuna Toyota Stout inakosa nguvu ukiwa unapanda milima. Inaleta uvivu wa kazi za kubeba makaba,mahindi na karanga.Fundi nipo hapa, leteni hizo gari zenu niwatengenezee, bei ni rafiki kabisaa,
Seriously!!