Msaada wa fundi wa laptop morogoro: Mjini

Msaada wa fundi wa laptop morogoro: Mjini

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
823
Reaction score
216
habari wanaJamvi Naomba kwa yeyote ambaye ana Number ya Fundi wa Laptop wa Uhakika hapa Morogoro Mjini anisaidie kwa sababu Pc yangu inasumbua Kioo .
Asanteni sana!!!!
 
Gift electronics, round about ya SUA ndio duka lake lilipo +255754822822
 
Kwa ushauri tu, Kama data zako ziko salama ,ziokoe hafu nunua lap top nyingine uendelee na maisha . Technology inayotumika kutengeneza gadget nyingi siku hizi (lap top ,touch phones ,tablets ) ni za juu sana na ni very precise kwamba fundi yeyote mtaani akifungua kujaribu kutengeneza hataweza kurudisha katika hali yake halisi. Kama utaamua kununua replacement parts bei yake ni juu sana.
 
nenda kwenye cafe moja ya internet yenye jina la daus kwenye gorofa moja la mmasai maeneo ya juwata ulizia mr urio huyo akishidwa basi!!!!!
 
Back
Top Bottom