Wana JF,
Nataka kuongeza typing speed wakati ninachapa kazi zangu katika computer. Natafuta software ambayo naweza kuitumia kama tutor ili kunipima muda ninaotumia kuchapa maneno kadhaa (mfano: maneno 50 kwa dakika...)
Kama kuna free software ya ku'download naomba yeyote anielekeze namna ya kuipata tafadhali..