Tena aviatorAcha kubeti
Hapana nataka 10K tuWakituma wana jf 10 tu mwamba ana laki na hatarudisha hizo 90 kweli maisha akili. Simply means wanajf 10 wakimpa kumi atalazimika kurudisha Kwa Kila mmoja 20 je huu sio utapeli? Yani jioni ya Leo urudishe twice ya ulichokopa mh ....
Watu wenye akili fupi banaHUenda leo kaamka na hamu ya breakfast ya kibabe.. supu ya kuku, chapati 4 maini rosti na maziwa fresh. Mwisho kuna pepsi au maji baridii.
Amalize arud akacheze forex au kubet 😂
Yaani vitu vyote ivyo apate kwa elfu 10 ???wapi hiyooHUenda leo kaamka na hamu ya breakfast ya kibabe.. supu ya kuku, chapati 4 maini rosti na maziwa fresh. Mwisho kuna pepsi au maji baridii.
Amalize arud akacheze forex au kubet 😂
😂😂😂😂Kama una uwezo wa kupata 20k jioni ya leo kwanini usisubiri hiyo jioni upate pesa yako ya halali kabisa?
Tuma kwa namba hii wana akili sana, wanaibukia kila sehemu. Kutoa namba na jina ni kawaida yao ili kukuaminisha. Meseji zao zimejaa katika simu yangu hadi keroTayari nimeshatuma
ndio wepi hao?Watu wenye akili fupi bana
AHahahah...onngea na 2atu vizuri mkuu utafaid mengi.😂Yaani vitu vyote ivyo apate kwa elfu 10 ???wapi hiyoo
UVCCM Wamesema tupo 63mNgoja bdae uje uzi hapa wa rip muanze kusema..... liteni tu ndio mwana kayamwaga! Asa si angesema tu tumvushe....
Binafsi kwangu yy kukwama na kuhitaji hilo teni ni kawaida ila kuahidi kulidabo tena joini ndio uhuni ulipo
Double chance kwenye friendmatchAnataka kubeti ana amini atapiga pesa