Msaada wa ethernet driver.

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
Wakuu kuna laptop ni mpya sasa nimeiweka window 7 lakini imekataa kuunganisha internet. comp yenyewe ni
ACER ASPIRE 5336. nimetumia moderm internet inaunga fresh ina nikitumia cable inakataa kudetect. nimeangalia wameniambia kuwa ethernet driver ina miss..but i cant find it.so help guys
God bless you all the time!!!!!!
 
Acer kwa wiindow 7 drivers zake ziko ready. Sijui umeweka Version gani ya Windows 7?
kaka ndio maana sikuelewa..window 7 premium 84 bit kitu kama hiki..drivers zote zipo sipokuwa hito ya internet lakini only nikitumia cable ndio imekataa ku i detect hio cable ..nikitumia moderm inafanya kazi fresh tu .au bado hujanipata
 
Mkuu hiyo windows 7 ni 84 bit au 64? Huenda kweli haina drivers au hujapatia configuration za Network yako...kujua kama ni kweli haina drivers za Ethernet Right Click My Computer>>Click Properties >>>Click Hardware >>>Divice Manager...... kama kuna device itakuwa imemiss drivers itakuwa na Exclamation Mark ya Njano.

Kama itakuwa haina drivers nenda Google andika Ethernet drivers for ACER ASPIRE 5336 windows 7 Premium
 
ni 84
ni kweli nimeangalia hiyo driver haipo ..ni hiyo moja tu ndio haipo zingine zote zipo ..labda ni aina ya computer kwa sababu ni ki install window kwenye comp zingine inaingia na drivrs zote bila wasi wasi
thanks. il nimeingia google nimeikosa hio driver na ndio maana nimekuja hapa
 
Wakuu hatuna 84 bits tuna x86

x86 inatokana na 80x86 processor ambapo x= 2, 3, 4 ilipofika tano ndio likaja jina la pentium (penta=5)

x86 ina refer kwa 32 bit processor lakini kwa sasa kutofautisha wanaandika x86-(32-bit) au x86-(64-bit) inayoandikwa kama x64 pia.

Japo ni somo refu ila baada ya 64 bit tuna 128 bit kati hapo hakuna nyingine so 84 bit haipo
 
yap mkuu ni kweli ni x86..hii yangu niliyoweka ni x86 ultimate sasa kwa nini hii aspire 5336 inakataa kufanya kazi ukiweka ethernet? mdau kanipa link hapo juu nimeidownload nimeweka ila inaonyesha driver ya ethernet ndio ina miss zingine zote zipo.
unaniambiaje hapo kaka?
 
Hapo ndio penyewe

Ila make sure unachagua OS uliyanayo maelezo yako yanachanganya kidogo

yap mkuu ni kweli ni x86..hii yangu niliyoweka ni x86 ultimate sasa kwa nini hii aspire 5336

kaka ndio maana sikuelewa..window 7 premium 84 bit kitu kama hiki..drivers zote zipo sipokuwa hito ya internet..

Kwenye red, ni ipi kati ya hizo?
 
Hapo ndio penyewe

Ila make sure unachagua OS uliyanayo maelezo yako yanachanganya kidogo

Kwenye red, ni ipi kati ya hizo?

x86 ultimate
hiyo nyingine ha exist nilikosea kuandiaka
 
yap mkuu ni kweli ni x86..hii yangu niliyoweka ni x86 ultimate sasa kwa nini hii aspire 5336 inakataa kufanya kazi ukiweka ethernet? mdau kanipa link hapo juu nimeidownload nimeweka ila inaonyesha driver ya ethernet ndio ina miss zingine zote zipo.
unaniambiaje hapo kaka?

Mimi mara nyingi huwa natumia Driveridentifier ili kupata missing drivers ambazo ni compartible kwa pc yoyote. Uki run hii software inaleta summary ya drivers zote zinazomiss na zilizo outdated, unachotakiwa kufanya ni kujua tu OS ya pc yako kama ni 32 au 64bit kisha unabofya kwenye hiyo driver unaanza kudownload instantly. Tatizo lake, inahitaji internet connection.
 
Hapo ndio penyewe

Ila make sure unachagua OS uliyanayo maelezo yako yanachanganya kidogo

Kwenye red, ni ipi kati ya hizo?

mkuu KYX ..PIC hizi hapa nimeshindwa kuku pm picha zinakataa ku upload kule
Untitled.png Untitled222222222222.png
 
  • Thanks
Reactions: KXY
Mimi mara nyingi huwa natumia Driveridentifier ili kupata missing drivers ambazo ni compartible kwa pc yoyote. Uki run hii software inaleta summary ya drivers zote zinazomiss na zilizo outdated, unachotakiwa kufanya ni kujua tu OS ya pc yako kama ni 32 au 64bit kisha unabofya kwenye hiyo driver unaanza kudownload instantly. Tatizo lake, inahitaji internet connection.
haina mambo ya kujiregister sijui kulipia?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom