Msaada wa ethernet driver.

Wakuu wangu wote asanteni sana Mungu awabariki vilivyo kwa sababu kitu kimekubali na sasa hivi napata internet fresh sana ..kwa msaada wenu ..asanteni sana ..
JF idumu .....respect and i do appreciate you guys
 
hii habari ni njema sana

vipi kwetu tusio na hii window 7 tufanye nini eg black XP msaada p/se
 
Wakuu wangu wote asanteni sana Mungu awabariki vilivyo kwa sababu kitu kimekubali na sasa hivi napata internet fresh sana ..kwa msaada wenu ..asanteni sana ..
JF idumu .....respect and i do appreciate you guys

Hii safi sana...watu wote wangekuwa wanatoa feed back namna hii ingekuwa poa sana.....inatia moyo mtu anapotambua msaada uliompa!!
 
Jamaa mbona wa ukweli sana humu ndani.
Hata hivyo ukichunguza sana watu wengine huwa wanajiregister wanapokuwa na tatizo, baada ya kufanikiwa wanatokomea kizani.
 
Back
Top Bottom